Mshana Jr said:Ni kama antibiotic pori inatibu mengi
Kaka Mshana Jr ningependa muwepo hapa nane nane kwenye maonesho ya kilele cha wakulima au mupo nipe connection plz
Niko mbali ndugu yangu na haya mambo yanahitaji maandalizi mengiNingefurahi sana kuona bango Na onesho la KICHAWI HAPA NANE NANE MBEYA KWENYE VIWANJA VYA JOHN MWAKANGALE
Au mwenye kupajua walipo hapa uwanjani anipe connection [emoji2099]
Ina maana gani kiganja changu ni hivyo
Mshana hii kitaalam inaitwaje?