Maombolezo Mount Meru Hospitali

Maombolezo Mount Meru Hospitali

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,197
Reaction score
14,902
Hivi sasa mwili wa Judith aliye pigwa bomu Soweto unaagwa uploadfromtaptalk1371712315445.jpg
 
EE mungu wa milele.Pumzisha roho ya mpendwa wetu alijitahidi kuinuka baada ya kupigwa bomu lakini baba uliruhusu roho yake itoke kama ulivyoruhusu ya mwanao yesu kristu.Leo Herode wa Tanzania anadai eti hakuwepo anaomba mkanda wa ushahidi anasema hajui chanzo.
 
Eh Mungu, Muweza wa yote mwenye sifa ya uumbaji na kuabudiwa mpokee na mlaze mahali pema peponi kiumbe chako Judith kilichotolewa uhai wake kwa msaada wa watumishi wa shetani duniani.
 
mkuu ni aibu wewe kama kiongozi unaongea uongo then unakataza watu kuomboleza then at the same time watu wanajitokezawengi kuaga hii kweli inaonyesha kuwa viongozi hawaaminiki tena na jamii yetu.
 
EE mungu wa milele.Pumzisha roho ya mpendwa wetu alijitahidi kuinuka baada ya kupigwa bomu lakini baba uliruhusu roho yake itoke kama ulivyoruhusu ya mwanao yesu kristu.Leo Herode wa Tanzania anadai eti hakuwepo anaomba mkanda wa ushahidi anasema hajui chanzo.

comment yako imeniumiza na kunisononesha moyo sna, R.I.P Judith!
 
Ina sikitisha sana kuona watoto wadogo wameuawa "kinyama' kwaajili ya maslahi binafsi ya CCM na Polisi wake. Wanapanga na kukamilisha "mauaji" na kuudanganya UMMA, lakini wanasahau kuwa yuko mmoja ambaye jicho lake huwa halilali wala halisinzii!!
 
Eeee Mungu walaani watawala wa Serikali hiii, Malipo yao yasisubiri siku ya mwisho bali tuyashuhudie tukuwa bado hai ili iwe funzo kwa wengine.
 
when my work is over i will fly away to zion
 
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu Judith
 
Back
Top Bottom