Maombolezo Mount Meru Hospitali

Maombolezo Mount Meru Hospitali

Pumzika kwa Amani mpiganaji Judith!
Mapambano yanaendelea!
 
kapunike dada damu yako umetuachia kama chachu ya ukombozi.
damu yako itawafuata wote waliohusika nao watakufa kwa kumwaga damu
 
R.I.P Kamanda na MUNGU atawaumbua wahusika wa mauaji haya.
 
R.I.P Judith.You are our HERO like Che Guevara. We will never forget You.
WE shujaa. Damu yako haikumwagika bure
 
Upumzike kwa amani, mwana mwema wa Tanganyika. Damu yako haijamwagika bure! Aluta Continua!!!
 
Back
Top Bottom