Nipo mimi hapa, lazima nijue Mkwe wangu mtarajiwa atakuwa anafanya kazi gani la sivyo sitakuwa tayari kuruhusu Binti yangu kipenzi kwenda kuteseka kwa kukosa matunzo....Hivi kizazi hiki kuna wazazi wanakataa barua ya uchumba?
Nipo mimi hapa, lazima nijue Mkwe wangu mtarajiwa atakuwa anafanya kazi gani la sivyo sitakuwa tayari kuruhusu Binti yangu kipenzi kwenda kuteseka kwa kukosa matunzo....
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Naheshimu mawazo yako sababu katiba inaruhusu hilo.Hili ni jambo ambalo unatarajia kufanya
Possibly hutaweza kufanya hayo uliyoandika kulingana na wakati huo
Usisahau kubeba Unga gunia mbiliNipo njiani naelekea tabata baracuda ambapo familia ya binti inaishi nipo na mshenga wangu kuna binti tunaenda kwao kupeleka barua ya posa hiyo familia wenyewe Ni wasukuma