GREAT INVESTOR
Senior Member
- Nov 13, 2018
- 128
- 295
Salam wana JF,
Kwanza niipongeze serikal zote za Tanzania kuanzia ya Nyerere mpaka ya Magufuli kwa waliyofanya na wanayofanya hata kama ni machache kuendeleza uwanja wa ndege wa JN.
Jana nlikua na safari tokea Tanzania na safari yangu ilianzia JN Airport kwa shirika la ndege la Qatar Airways, maajabu ni kuwa airport niliulizwa kirahisi tu kama una vitu ambavyo si salama kwa safari kama vimiminika nk nkajibu hapana, nilisachiwa na begi langu la mgongoni walili scan ila nliambiwa niko safe kusafiri, safari ikaanza.
Nimefika Doha international airport begi langu la mgongoni likawa scanned. Baada ya kuscan beg picha ya scana ikachora mistari mipana miwili, Dada mmoja akaniulizi is this bag yours? Japo alikua anajua ni langu, nikamjibu yes the bag is mine. Akaniambia take your shoes, belt and your jacket wear them and wait aside akaniletea kiti nkakaa, kidogo akaja police na jamaa aliyejitambulisha ni usalama jamaa wa usalama alikua Mwafrika akaanza kuongea na boss wake kwa radio call, kidogo nkaambiwa stand and face camera so as my boss may see you. Nikaingiwa na wasiwasi kutakua na nini kwenye begi mbona sijaweka chochote kibaya.
Basi akachukua passport yangu ya kusafiria na ticket zangu coz nlikua na connect ndege, zikachorwa kwa markerpen nyuma, upepo ukanijaaa wakachukua maelezo pale yule afisa usalama mu Africa akajua nimejaa upepo,akaja akaniambia usihofu hakuna kitakachoharibika,niamini mimi ni Mwafrica mwenzako kama kuna chochote kitatokea kama ku cancel ur remaining journey ntakua responsible kwa chochote upepo ukanitoka kidogo utaratibu wa kusachi bag ukafuata, nkaambiwa your going to help and witness what is inside nkasema OK, nkaambiwa open you bag and empty every thing basi nkafanya ivyo zipu ya kwanza kukawa hakuna kitu kibaya, Jamaa akiangalia scana ile mistar anaionyesha kwenye zipu ndogo akaniambia nifungue zipu ndogo kiukweli ndani kulikua na markerpens, nail cutter na nyembe fulani inavalishwaga kwenye kisu.
Conclusion ikawa ni kitu cha ncha kali, ivi vitu sikua najua kama viko ndani ya beg langu.
Walinichukua maelekezo tena huku wanajaza form wakatengeneza report yao.
Swali kuu lilikua, UMETOKEA NCHI GANI NA JE MNAKAGULIWA KABLA YA KU BOARD, nkajibu ndiyo, wakauliza aina gani ya Inspection vitu kama hivi vinapita, sikua na jibu, wakaniambia your not first Tanzanian cought with sharp objects inside your bag.
Maana ya mimi si Mtanzania wa kwanza kukutwa na sharp object kwenye beg kwa maelezo yao though naamini hata wanaokutwa na hivi vitu huwa hawajui kama vipo kwenye mabegi yao.
Kauli ya mwisho ya police, ni kwamba we have to be more carefully with Tanzanian connect flights or who ends here during inspection.
MAOMBI YANGU KWA WAHUSIKA JN
Kama uwanja wa ndg ndo tegemezi na ndo unaconnect watu na mataifa mengine basi jaribuni sana kutafuta mashine za kuscan na kuweza kubaini vitu visivyokubalika vilivyopo ndani ya mabegi, hili litapunguza Tanzania kunyooshewa kidole.
Naamin kama kungekua na hizo mashine ingekua ngumu sana kusikia Mtanzania kashikwa na dawa zisizo ruhusiwa nje ya nchi au vitu kama sharp objects kwenye bag AU PENGINE IZI MASHINE ZIPO ILA WAHUSIKA HAWAZITUMII IPASAVYO.