wazanaki
JF-Expert Member
- Mar 20, 2020
- 1,092
- 804
Mimi ni sauti ya samaki alie kina kirefu cha maji. Tena samaki huyu anapumua kwa shida kwa sababu maji yana kina kirefu. Lakini samaki huyu anataka kuwapa taarifa viumbe walioko nchi kavu kwamba kuna hatari anaiona inakuja ambayo viumbe hao walioko nchi kavu hawawezi kuiona.
Twende kwenye mada
Wakuu. Watanzania na waafrika kwa ujumla tunaongelea sana kuhusu barabara na miundombinu na miradi mingine kibao. Lakini kwanini hata siku moja sijawahi kusikia swala la ELIMU linakuwa serious. Je, ni ukoloni mambo leo unaimarishwa.
Hebu wakuu tuchunguze wote kwa pamoja, unajua historia ya utumwa bado haijatuacha ila imekomaa na kua smart (ukoloni mamboleo).
Mlishawahi kujiuliza why tunakomaa sana na miradi kama umeme, barabara, na vingine vingi na still wanaofaidika bado ni wazungu. Kwa sababu wenyewe wana access ya elimu pure na mikopo bank.
Hamjawahi kujiuliza kwa nn tunasomesha ma engineer wetu chuo cha mlimani lakini kazi za u engineer bado zinafanywa na mabeneru tena kwenye miradi ya pesa mingi. Hamstuki kwamba elimu bora kwa muafrika imefichwa kimakusudi kwa lengo la kutuweka kwenye trap ya utumwa?. Why elimu isitusaidie kuvumbua na instead inatusaidia kujua ku operate alivumbua mzungu.
Hamstuki kuwa "tunafundisha madereva na sio watengeneza magari"
La mwisho. Why why why, Tanzania tunakomalia Kiswahili toka primary na wakati lugha ya dunia ni Kiingereza. Na wenda tukakwama kwenye biashara wakuu. Kwann lakini wakuu. Tuachane na superiority complex za kutopenda kuongea English. Kwani huwezi iga lugha ya mtu na bado ukamzidi maendeleo kupitia lugha hiyo hiyo. Kiswahili tumezaliwa nacho. Why kujifunza. Tayari tunajua. Miaka saba ni mingi mtoto kumuandaa kwenye kiswahili alafu ghafla form 1 unabadili muelekeo wake katika lugha ya Kiingereza.
Ni mtazamo tu wakuu