The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,949
huo ni ukweli mchungu brodha.Vijana wa kitanzania akili hakunaHawana akili!? Hahahhhahaha dah!
Mtaji haujawahi kuwa tatizo popote pale katika kuanzisha biashara
ukiona unashindwa kuanza biashara kwa sababu tu ya kuwaza mtaji ujue huna akili