Maombi ya kuwa Personal Assistant wako

Maji Chai

JF-Expert Member
Dec 8, 2018
246
322
Habarini ndugu zangu,mimi ni kijana umri wa miaka 23 mkazi wa Dar es salaam -Temeke,ni mwaminifu,mchapakazi nachukua nafasi hii kuomba kuwa msaidizi wako katika shughuli zako mbalimbali za kila siku ambazo kutokana na ubize ulionao inakuwia vigumu kuzifanya.

Nipo tayari muda wowote utakaponihitaji kwa kazi yoyote,kwenda kukufanyia shopping,kunituma sehemu yoyote na kazi yoyote ile utakayotaka nifanye japo tu iwe ya halali.Ninaahidi kufanya kazi yangu kwa weledi.

Nijulishe kama utakuwa unahitaji mtu wa namna hiyo.
 
nakutakia heri na mema tupu ufanikiwe katika hii ndoto yako. Ushauri, kwa nature ya kazi hii na ili upate kuaminika kwa wote tuliomo humu, weka details zako za kweli ili kujenga imani kwa sisi na wengine. mfano jina lako halisi na namba yako ya simu vitakuongezea thamani mbele ya wateja wako watarajiwa.
 
Back
Top Bottom