Msaga_sumu
JF-Expert Member
- Aug 31, 2022
- 342
- 369
Mtaji kiasi gani mkuuKama unamtaji mkuu kanunue samaki feri njoo tankibovu NIKUPE mchongo ULE helaaa
0768842034 naomba mchongo huoKama unamtaji mkuu kanunue samaki feri njoo tankibovu NIKUPE mchongo ULE helaaa
Uko wapi nikupe kazi ya freelancing kila mteja utakayesajili nikulipe 2500 minimum wateja 10 per dayWakuu habarini za wakati, mimi ni graduate katika fani ya uhasibu na tehama, na experience katika kazi za freelancing na marketing nimefanya freelancer azam pesa, pia mambo ya loan officer nimefanya kwenye moja ya microfinance na sasa nimejitolea auditing firm Premium Plus Association (PPA) kama auditor poa tukifanya kazi kama accountant consultants katika baadhi ya kampuni kubwa tu hapa Tanzania. Tunajifunza sana na katika carrier namshukuru Mungu tunapata experience kubwa sana kulinganisha na elimu tuliokua nayo ya darasani. Wakuu shida yangu naomba mwenye connection na sehemu naweza fanya hata part time hasa katika shughuli za tax kama kuandaa tax returns na uhasibu hata kwa nafasi ya kujifunza tafadhari naomba nisaidie nataka ongeza ujuzi na experience katika hilo.
2500 tu duhUko wapi nikupe kazi ya freelancing kila mteja utakayesajili nikulipe 2500 minimum wateja 10 per day
Sasa akisajili 20 si 50k mkuu per day wewe unalipwa hivyo?tu duh
YAAN nilitaka kujua mtu kumsajili sh ngapi mkuu anatoka maana kumsomesha mtu atoe kiasi flan sikuhizi imekuwa changamotoSasa akisajili 20 si 50k mkuu per day wewe unalipwa hivyo?
Nipo kimara boss 0768842034Uko wapi nikupe kazi ya freelancing kila mteja utakayesajili nikulipe 2500 minimum wateja 10 per day