Maombi ya field

Bittah

Senior Member
Jul 14, 2018
135
37
Habari ndugu zangu kwanza nipende kuwashukuru tangu natuma maombi ya chuo mlikuwa na mimi mdogo wenu kwa sasa nasoma ifm nachukua it mwaka wa kwanza napenda kupata ushauri kutoka kwenu kuhusu maombi ya field kwetu mwanza napenda kupata ushauri wenu kwa sehemu kama mwanza niombe sehem zipi zinazoendana na kozi yangu ya IT
 
Mkuu kuna mdogo wangu mmoja hiv alikuwa anataka kusoma ifm mambo ya IT, so alikuwa anataka maelekezo kidogo naomba kama hutojali nicheki 0752026992
 
Back
Top Bottom