maombi matatu

maombi matatu

Joeli

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2011
Posts
4,941
Reaction score
3,414
hii nimeikopi fesibuku nikaipesti huku.... Boflo ndo mtu wa kwanza kuja akilini baada ya kuisoma...


Hapo zamani kulikuwa na Chura alie ishi
pembezoni mwa Ziwa peke yake kwa miaka
mingi .alibahatika kupewa nguvu za kichawi na
Mchawii mmoja hivii......
Siku moja alibahatika kutoka nje ya Ziwa na kuona
Dunia ilivyoo kwa njee,kitu chake cha kwanza
kuona ilikuwa ni Simba anamkumbiza
Sungura ,alipaza sauti nakuwaita wote waje nao
wakafanya hivyoo wakaja pale alipo.
Kisha akawaambia "mimi ni Chura mwenye
Maajabu ,kwakua nyie ni wanyama wangu wa
kwanza kuwaona ,nitawapa nafasi ya kutimiza
ndoto zenu leoo, kila mtu achague vitu vitatu
ambavyoo angependa vitokee namii nita mpatia
mda huu huu na watakiwa uvitumie sasa hivii. "
Simba Kwakua alikuwa na Tamaa akawa wakwanza
kutaja . "ningependa kila SIMBA hapa msituni awe
JIKE kasoro mimi tuh niwe DUME " ilisikika sauti ya
ajabu na ombi lake likawa kweli... "
Zamu ya SUNGURA, mimi ningependa Helmeti
kichwani ." Ombi hili liliwachanganya wote Chura
na Simba ,lakini ndio hivyoo ikatokea sauti ya
ajabu na Helmeti ikatokea kichwani mwa
SUNGURA.
Zamu ya SIMBA tena . "ningependa kila SIMBA
katika misitu ya karibu na Hapa tulipo awe JIKE "
kama kawaida sauti ya ajabu ikatokea na ikawa
hivyoo kama ombi lake .Zamu ya SUNGURA tena
"mimi ningependa piki piki iwe na MAfuta full
Tanki . "wote SImba na Chura Wakawa
wanashangaa si angeomba Pesa na Angeweza
nunua Baadae " ikatokea sautii ya ajabuu na piki
piki ikatokea .
Zamu ya SIMBA tena " ningependa SIMBA wote
duniani wawe JIKE " ikatokea Sautii ya ajabu na
Ikawaa hivyoo kama OMBi lake .SUNGURA
akatupiaa Helmeti kichawani na kuwasha piki piki
kisha akasema Ningeomba "SIMBA huyu awe
SHOGA na kutokaaa Ndukiiiii......
 
Last edited by a moderator:
Mhh. Makubwa haya. Sungura hawatakii mema SIMBA.
 
Umetisha mkuu,,, hapo simba lazima aombe chance ya nne kwa mheshiwa chura
 
Hahahaaaaaa!hi kwa nini Sungura anakuwa potrayed kama mjanjamjanja!
 
hizo hasira za simba... Sijui zilikuwa kilo ngapi ( kama zinapimika kwa uzito )
 
Bila pikipiki hpa alikua anakua kitoweo hafla.

sungura kweli noma ndiyo maana hakuomba hela badala yake kaomba mafuta,masikini simba hawaaaa! Sijui wangekuwa nyani wangeishia wapi kuvimba kwao kuleee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom