Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._*
1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo
We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga.
2. Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano
Ee Mungu, wajaalie usafi wa miili na roho zao.
3. Anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango
Hakika sio wao, Mungu uwaongoze
4. Mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa Sungura kwa kula majani kila leo
Mungu mwenyezi warudishe njia kuu.
5. Hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password
Waongezee uaminifu Ee Mungu wetu
6. Siku akichinjwa kuku, basi wao hupewa mapaja firigisi na sehemu zingine nzuri nzuri
Mungu muumba, wajaalie uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku.
7. House girl akijichanganya, kapewa mimba
Ee Mola waepushe na tamaa za mwili.
8. Ameshika ratiba ya mpira wa Uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani kwake..
Yaa Allah, wajaze baraka za kujali..
9. Ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee
Mungu wetu, nakuomba siku ya hukumu kila mmoja abebe mzigo wake..
10. Kwenye simu ataandika majina ya Chinga, Braza, na Mabruki muosha magari, kumbe hao ni ASHURA, Mage na Salome
Waumbue Mungu
Mama Sabrina
Mama G