Maombi kwa ajili ya wanaume

*Mwanamke unamkuta hajaoga tangu asubuhi ananuka papuchi........
*Ukirudi kwenye mihangaiko ni buugu mtindo mmoja..........
*Chakula hajui kupika........
*Unakuta mwanamke mchafu km ana mtoto mdogo unamkuta hajabadilishwa pampers toka alivyoveshwa asubuhi......
*Mwanamke hajui kumpetipeti mumewe majibu ya jeuri na karaha.........
*Unamkuta mwanamke muda wote yupo busy na mambo yake hakujali wewe wala watoto kama sio smartphone basi umbea na mashoga zake...........
*Unarudi nyumbani unakuta mashooga wamejazana kweji kichumba kimoja wanaangalia season, sasa kwanini tusishinde bar turudi tukute umelala tuingie ndani huku tumebana pua kwa harufu mbaya ya nguo chafu na vyombo
Umetujibu sawaaaa sisi hatuwapetipetii jamani
 
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._*

1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo

We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga.

2. Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano

Ee Mungu, wajaalie usafi wa miili na roho zao.

3. Anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango

Hakika sio wao, Mungu uwaongoze

4. Mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa Sungura kwa kula majani kila leo

Mungu mwenyezi warudishe njia kuu.

5. Hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password

Waongezee uaminifu Ee Mungu wetu

6. Siku akichinjwa kuku, basi wao hupewa mapaja firigisi na sehemu zingine nzuri nzuri

Mungu muumba, wajaalie uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku.

7. House girl akijichanganya, kapewa mimba

Ee Mola waepushe na tamaa za mwili.

8. Ameshika ratiba ya mpira wa Uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani kwake..

Yaa Allah, wajaze baraka za kujali..

9. Ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee

Mungu wetu, nakuomba siku ya hukumu kila mmoja abebe mzigo wake..

10. Kwenye simu ataandika majina ya Chinga, Braza, na Mabruki muosha magari, kumbe hao ni ASHURA, Mage na Salome


Waumbue Mungu

Mama Sabrina
Mama G
Mama Sabrina unatutaka nini lakini.
 
Umetujibu sawaaaa sisi hatuwapetipetii jamani
*Nikirudi nyumbani mapema naweza nikapata mistress isiyo na msingi...... Bora nitafute sehemu nijiliwaze
*Papuchi napewa kwa kususiwa, unakuta mwanamke hajishughulishi kajilaza km Gogo....... Kwanini nisijiliwa kwa Back3

Badilikeni
 
*Nikirudi nyumbani mapema naweza nikapata mistress isiyo na msingi...... Bora nitafute sehemu nijiliwaze
*Papuchi napewa kwa kususiwa, unakuta mwanamke hajishughulishi kajilaza km Gogo....... Kwanini nisijiliwa kwa Back3
Badilikeni
Sawa tutabadilika ila muache
 
Eee Mwanaume lazima ulete kash kash mpaka mkeo ajue kweli Mwanaume yupo!

Kamata hausegirl + marafiki wa mkeo gegeda [emoji]

Mke akikuzingua tia Kofi

Weka heshima bar alaaaah

Mwanaume unaanzaje kurudi nyumbani saa mbili

Rais mwenyewe anaomba watanzania tumuombeee Kwanini Mi nisimuagize mke akaniombee ?

#NB
Sijao lakini
hahaaaaaaaas hii ndio sifaaa kuuu za mweanaumee
 
Back
Top Bottom