Manzi wangu wa kitanga

Manzi wangu wa kitanga

mida ya saa tano usiku ndio mlirudi
ukaoga,ukala,mkiwa tungi ukakatwa kucha usiku
huo huo heheeeeee!!ngumu kumesaaaaaa @ shigongo lol!!
 
Mh hapa uongo na pombe yote hiyo wakatwa kucha tu uko macho ungekuwa ushazima chezea pombe wewe
 
Siku nyingine ukitaka kwenda Tanga tutafute wenyeji tukupe usia kwanza...

Wabara wakenda Tanga huwa hawarudi salama atii...hata Mentor analijua hilo.

Shemeji watu8,

Salaam!

Kuna watu mpaka yawatokee ndipo wajifunze hawataki kujifunza kutokana na makosa ya wengine.

CC: KOKUTONA
 
Last edited by a moderator:
eeehh! Mentor upo?? kama nakuona vile hebu wape mbinu mbadala wanaume wenzako wasiabike wakienda huo kwa waja leo waondoka kesho.
 
kuna jamaa yangu nilimwambia ukienda Tanga usijifanye unawajua hawa watu...huko sio Arusha kwa wenzangu na mimi ambao hata chai ya iriki hawaijui..
 
Salaam mkuu...habari ya upande wa pili wa maji?

Huku shwari,
kila siku naiangalia namba yako nanuwia kukupigia simu ila kuna shetani ananitinga..niwie radhi!

Karibu sana hapa jirani...
 
mida ya saa tano usiku ndio mlirudi
ukaoga,ukala,mkiwa tungi ukakatwa kucha usiku
huo huo heheeeeee!!ngumu kumesaaaaaa @ shigongo lol!!

Tanga hiyo wifi...alikuja na makucha yake marefu na ndevu zake za ndani kaa msitu toka mbeya mwanamke wa kitanga akona bora amsafi mwili ndo mambo yaendelee, lol
 
Tanga hiyo wifi...alikuja na makucha yake marefu na ndevu zake za ndani kaa msitu toka mbeya mwanamke wa kitanga akona bora amsafi mwili ndo mambo yaendelee, lol

basi huyo mwanamke atakua alikunywa
juisi ya embe na si bia wala grants wallah!!
 
basi huyo mwanamke atakua alikunywa
juisi ya embe na si bia wala grants wallah!!

Kuna wanawake ma bandidu achaa wifi, yaani nakula viroba hata 10 lakini kasimama.....wapo wifi wa dizaini hizo
 
tulikunywa pamoja na nilichoka sana sijui mwenzangu alikuwa katika hali gani ila ninachokumbuka ni hicho tu
 
Kuna wanawake ma bandidu achaa wifi, yaani nakula viroba hata 10 lakini kasimama.....wapo wifi wa dizaini hizo
inawezekana kwani tulikuwa tunakunywa pamoja lakini mimi nililewa zaidi kuliko hata yeye
 
Dah nami natarajia kwenda Tanga labda nimkwapua moja nimlete huku kwetu bara
 
Back
Top Bottom