Sijawahi kuona mwanamke anamsifia mwanamke mwenzake hata siku moja..Kuna siku nilimsifia mdada mbele ya manzi wangu,aise nilikatwa jicho mpaka nikaishiwa pozi.
Hapo anafanya kama mtego kwa mwanaume hakuna katika dunia hii mwanamke wa hivyo ila kama hakuitaji au anaona mwanaume anampango nae au anatamaa anafanya hivyo
Kuna demu mmoja nilisoma naye chuo alikuwa anampenda demu mwenzake hadi analia,anasema anatamani kumwambia kuwa anampenda lakini anashindwa maana huyo demu aliyempenda alikuwa ametutangulia mwaka na alikuwa anaonekana matawi ya juu.Mimi nilikuwa simwelewi huyo dada yaani daaa!!
ila kuna mademu wengine ukiona unajikuta tu unamshirikisha mr.. ona mzigo huo ila wanaume hata iweje atakuambia mbona amna kitu hapo kawaida sana huku akitoa macho kodo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.