Rugas
JF-Expert Member
- Jan 8, 2009
- 1,048
- 197
Hata kama utapata kansa ukakatwa matiti!Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
Hata kama utapata kansa ukakatwa matiti!Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
Mkuu sio kwa waliokatwa tu matiti, hata kwa wenye matiti madogo wanvaa hizi. Ukienda china wasichana wanazivaa sana tu maana wachina wa kike majority wana vititi viduuchu kwa asili.
Bado nasisitiza sidhani km crisis ya kukatwa matiti imekuwa kubwa hivi kiasi cha hizi artificial kutundikwa na kuuzwa km bidhaa...na bado my concept i the problem ya kutijikubali vile tulivyoumbwa....au consequence zinazotokea as tunaishi. What i mean is hata nikikatwa matiti kwa saratani na nikayavaa it will not change the reality kwamba sina tena matiti. Wapo waliokatwa na wakawa comfortable kuwa walivyo bila hata kuyavaa...so it is possible for me also kukatwa na nikaishi bila kuvaa...the matter here is to accept the reality.Hata kama utapata kansa ukakatwa matiti!
Sasa Kabaang nayo ipoje?
KOKUTONA.......wanavaa lakini si kwa kupenda!!! ukiw aumekamilika hata yakiwa lapa vipi hutavaa! lakini ukiwa umekatwa..........au ndio hivyo tena viduchu kam aalivosema Kingmairo utaona heri haya ya kichina kuliko bilabila!Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
alikua mlemavu?
Vp kuhusu uhakika wa afya ya ng'ozi yako kwa kuvaa hayo madude Paloma? Nani amethibitisha km hayana madhara hasa kansa ya ngozi?
wwwwwwhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaaatttttttt!!Upande wa pili wa ile ya mwanzo unapata kabaang!!!
![]()
Mkuu sio kwa waliokatwa tu matiti, hata kwa wenye matiti madogo wanvaa hizi. Ukienda china wasichana wanazivaa sana tu maana wachina wa kike majority wana vititi viduuchu kwa asili.
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
hongera yako koku.Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
Ni mahsusi kwa ajili ya wanawake waliokatwa matiti baada ya kugundulika kuwa na saratani ya matiti. Katika hali ya kawaida mtu hauwezi kuyavaa hayo.Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter