Manyonyo ya Kichina....

Manyonyo ya Kichina....

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
Haya ndio ya kichina hasa, oh! vua sidiria... sitaki ujue ndio hivyo tena....

breast-bra-fake-breasts-a-e-sizes-are-available.jpg

imageNYOs.jpg

imaKKges.jpg

mnRgHG-qivsVVKcc6cVfHsA.jpg
 
Ngoja nimnunulie bibi yake kaka... hee.. !! hivi na K za bandia zinafananaje!?
 
Kuna vitu huwa tunavichukulia for granted wakati tunavyo. Kuna dada mmoja nilimpatia titi moja tu la bandia pamoja na brazierre yake. Alinishukuru hadi nikaona aibu, kwa machozi kabisa. Anaongelea kwa kila mtu.

Lets not mock this, hii kwa aliekatwa matiti ni dhahabu! Matiti yanaweka shape kwenye kifua, yasipokuwepo ni disaster!.
Haya ndio ya kichina hasa, oh! vua sidiria... sitaki ujue ndio hivyo tena....

breast-bra-fake-breasts-a-e-sizes-are-available.jpg

imageNYOs.jpg

imaKKges.jpg

mnRgHG-qivsVVKcc6cVfHsA.jpg
 
Hii ni kwa watu waliokatwa matiti labda kwa kansa na magonjwa ya aina hiyo
Zamani ilibidi waweke matambara kifuani, mie kuna mtu namfahamu alikuwa anaweza matambara
Lakini ngepata manyonyo haya angefurahi sana.
 
Kumbe na wewe umeshaona? Hii ni maalumu kwa waliopoteza viungo hivyo, ni kama vile mtu anapopewa mkono wa bandia endapo amekatwa.

Kuna vitu huwa tunavichukulia for granted wakati tunavyo. Kuna dada mmoja nilimpatia titi moja tu la bandia pamoja na brazierre yake. Alinishukuru hadi nikaona aibu, kwa machozi kabisa. Anaongelea kwa kila mtu.

Lets not mock this, hii kwa aliekatwa matiti ni dhahabu! Matiti yanaweka shape kwenye kifua, yasipokuwepo ni disaster!.
 
Kuna vitu huwa tunavichukulia for granted wakati tunavyo. Kuna dada mmoja nilimpatia titi moja tu la bandia pamoja na brazierre yake. Alinishukuru hadi nikaona aibu, kwa machozi kabisa. Anaongelea kwa kila mtu.

Lets not mock this, hii kwa aliekatwa matiti ni dhahabu! Matiti yanaweka shape kwenye kifua, yasipokuwepo ni disaster!.

alikua mlemavu?
 
ni kweli dada....
 
Hii ni kwa watu waliokatwa matiti labda kwa kansa na magonjwa ya aina hiyo
Zamani ilibidi waweke matambara kifuani, mie kuna mtu namfahamu alikuwa anaweza matambara
Lakini ngepata manyonyo haya angefurahi sana.

Mkuu sio kwa waliokatwa tu matiti, hata kwa wenye matiti madogo wanvaa hizi. Ukienda china wasichana wanazivaa sana tu maana wachina wa kike majority wana vititi viduuchu kwa asili.
 
hahaha...kwa mwanaume mkamilifu hawezi kucheza na hizo toys
Mie nimehisi kinyaa ujue....yaani i cant wear or use such things is....I love the way GOD has made me...no matter
 
Back
Top Bottom