Wataishia kukamata vidagaa tu, millioni 50,100,nk but the big fish wale wanaofanya vikao vya bodi 23 Visivyo na maana yoyote harafu wanapiga millioni 600! Hawa wanaachwa tu waendelee na maisha.Acha kazi iendelee
Malipo ni hapa hapa,na enzi za Jiwe asingeguswa huyu.Huyu jamaa ni rafiki yake na Mnyeti balaa ndiyo matapeli wakubwa
Kishenyi alikuwa wakili mkuu wa serikali pale kisutu, ila jamaa anapenda sana helaHuyu jamaa ni rafiki yake na Mnyeti balaa ndiyo matapeli wakubwa
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.Malaika mkuu rudi upesi uwaokoe vijimalaika vyako vinateseka na rushwa
mama D Jane Lowassa johnthebaptist Pascal Mayalla hawaelewani tena
Hapana hiyo ni information kwake na kwa wengine pia kuwa ukiitwa " kusaidia uchunguzi" siyo hiariTAKUKURU huyo David hamkutakiwa kutufahamisha kiburi chake, ninyi mgesubiri muda ufike wa kuja ofisini na akose kuja ndipo "mumuwashie moto wa kumbabua".
Vinginevyo, mtueleze kuwa mmetoa taarifa kwa nia ya kufikisha ujumbe kuwa mnadhiakiwa baada ya 'kukosolewa' hadharani.
We jamaa David Mataka alikuharibu kisaikojia kwakweli. Pole sanaDeclaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Aisee, Mkuu, maelezo yako ni mazito sana dhidi ya TAKUKURU.Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Aiseeee !Huyu jamaa ni rafiki yake na Mnyeti balaa ndiyo matapeli wakubwa
Hivi we jamaa unajielewa kweli? Yaani kabisa unasema mwanaume mwenzako hawez kula rushwa unamtetea kabisa! Are you serious dude? Smoking something perhaps as you wrote this?! Huh!Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Nimekuelewa mkuu. Na kwakweli TAKUKURU walitakiwa kuweka maelezo machache kama ulivyoyaweka bila kutaja tukio la David. Sasa kwa maoni yangu, naona TAKUKURU kwa kutaja tukio la David wanajiweka kwenye eneo la udhaifu jambo ambalo sikubaliani nalo.Hapana hiyo ni information kwake na kwa wengine pia kuwa ukiitwa " kusaidia uchunguzi" siyo hiari
Na kwamba unaweza kukamatwa popote ukafikishwa kutoa "msaada" kwa nguvu
Apate vibokoIkithibitika amekula rushwa aende ndani siku ya kuingia na siku ya kutoka akamuonyeshe mkewe - JK Nyerere 1995.