Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,577
6,582
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.

Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
4581F7BA-88EB-4E47-8E52-6EA52C7DC865.png

IMG_9986.jpg

Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:

1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
 
Acha kazi iendelee
Wataishia kukamata vidagaa tu, millioni 50,100,nk but the big fish wale wanaofanya vikao vya bodi 23 Visivyo na maana yoyote harafu wanapiga millioni 600! Hawa wanaachwa tu waendelee na maisha.

Na wale walioingia mkataba wa kuweka Rangi kwenye mafuta wakawa wanakula billioni 5,(yes 5000,000,000,) kwa mwezi hawa mkataba unasitishwa walizotuibia wanaenda nazo.
 
TAKUKURU huyo David hamkutakiwa kutufahamisha kiburi chake, ninyi mgesubiri muda ufike wa kuja ofisini na akose kuja ndipo "mumuwashie moto wa kumbabua".

Vinginevyo, mtueleze kuwa mmetoa taarifa kwa nia ya kufikisha ujumbe kuwa mnadhiakiwa baada ya 'kukosolewa' hadharani.
 
Hapana hiyo ni information kwake na kwa wengine pia kuwa ukiitwa " kusaidia uchunguzi" siyo hiari

Na kwamba unaweza kukamatwa popote ukafikishwa kutoa "msaada" kwa nguvu
 
Mkurugenzi wa TAKUKURU Manyara amepotoka kuandika barua ya serikali akidai ina mamlaka kutoka kwenye Biblia, kitabu cha Warumi.

Serikali ya Tanzania haina dini, na haijatoa mamlaka yake kwa Mungu wa Biblia wala wa Qurani, bali kwa wananchi kupitia Katiba.

Sitaki kuona mistari ya Biblia kwenye barua za serikali, na sitaki kuona aya za Qurani kwenye maagizo ya Serikali.

Mkurugenzi wa TAKUKURU atuombe radhi Waislamu, Wakristo, na wasio na dini.
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Aisee, Mkuu, maelezo yako ni mazito sana dhidi ya TAKUKURU.
Je. Mkuu, hauoni hatari dhidi yako ya kuingia mgogoro mzito wa kipolisi, kisheria na kimahakama na chombo hiki cha kudhibiti vitendo vya rushwa nchini!?
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Hivi we jamaa unajielewa kweli? Yaani kabisa unasema mwanaume mwenzako hawez kula rushwa unamtetea kabisa! Are you serious dude? Smoking something perhaps as you wrote this?! Huh!
 
Hapana hiyo ni information kwake na kwa wengine pia kuwa ukiitwa " kusaidia uchunguzi" siyo hiari

Na kwamba unaweza kukamatwa popote ukafikishwa kutoa "msaada" kwa nguvu
Nimekuelewa mkuu. Na kwakweli TAKUKURU walitakiwa kuweka maelezo machache kama ulivyoyaweka bila kutaja tukio la David. Sasa kwa maoni yangu, naona TAKUKURU kwa kutaja tukio la David wanajiweka kwenye eneo la udhaifu jambo ambalo sikubaliani nalo.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom