Informer
JF-Expert Member
- Jul 29, 2006
- 1,582
- 6,627
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:
1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa
2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017