Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Hii Taarifa ya TAKUKURU haiko na flow nzr, as if mwenye kuiandika alikuwa na haraka haraka hivi, unaleta ukakasi kwenye ukweli wa jambo lenyewe.

Kama aliomba na kupokea rushwa, kwa nn hawakumkamata immediately wakati akipokea?

Uharaka wa kutoa taarifa kuwa amepokea rushwa pasipo uthibitisho umetoka wapi?

Inanifikirisha kuwa huenda kuna njama ya kumchafua huyu Bwana Mtalemwa kwa sababu binafsi.
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Hata kama kasingiziwa jamaa atasotea ndani bula dhamana.
Ndio wakati wa kujua machungu ya matendo yao.
 
Mkurugenzi wa TAKUKURU Manyara amepotoka vibaya mno kuandika barua ya serikali akidai ina mamlaka kutoka kwenye Biblia, kitabu cha Warumi.

Serikali ya Tanzania haina dini, na haijatoa mamlaka yake kwa Mungu wa Biblia wala wa Qurani, bali kwa wananchi kupitia Katiba.

Sitaki kuona mistari ya Biblia kwenye barua za serikali, na sitaki kuona aya za Qurani kwenye maagizo ya Serikali.

Mkurugenzi wa TAKUKURU atuombe radhi Waislamu, Wakristo, na wasio na dini.
Pamoja na kwamba mm ni mkatoliki natumia biblia, nakubaliana na wewe,amepotoka pakubwa sana
 
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.

Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755

View attachment 1763752

Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:

1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa

2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
Huyo huwaga ni msumbufu sana lkn alikomeshwa na Lissu
 
Back
Top Bottom