Manyara: Hakimu jela kwa kuomba rushwa ya Tsh. 150,000

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magugu Mkoani Manyara, Adeltus Rweyendera amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Babati kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini Sh1.5 Milioni kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh. 150, 000.

Hakimu mfawidhi wa Mahakama hiyo, Andrew Kuppa akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 137/2020 mjini Babati, amesema mshtakiwa huyo aliomba na kupokea rushwa hiyo kinyume na kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupokea rushwa namba 11/2007.

Amesema Rweyendera aliomba fedha hizo kutoka kwa wazazi naa ndugu wa washtakiwa watatu ambao walikuwa wana kesi namba 242/2020 ikiwa ni kishawishi cha kuwasaidia na kuwaachia.

Amesema kutokana na ushahidi uliotolewa ukiongozwa na mawakili wa Takukuru, Martin Makani na Evelin Onditi, usioacha shaka dhidi ya mshtakiwa huyo, mahakama imemkuta na hatia na kutoa adhabu kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya mwaka 1985.

Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Hole Joseph Makungu amedai kuwa walipokea taarifa kwa msiri kwamba hakimu huyo alitaka fedha hizo wachangishane wazazi na ndugu.

Makani amesema baada ya kupokea taarifa hiyo ofisi yao ilifanya uchunguzi wa kina na kubaini kuwa ni kweli kesi tajwa ipo katika mahakama ya mwanzo Magugu na ilikuwa inasikilizwa na hakimu Richard Rweyendera.

"Uchunguzi wetu pia ulibaini kuwa washtakiwa hao walikuwa watatu, hivyo Hakimu huyo alitaka watoe Sh50,000 kila mmoja," amesema Makungu.

Amesema baada ya kujiridhisha na ukweli huo, maofisa wa TAKUKURU waliaandaa mtego wa rushwa na kufanikiwa kumkamata na fedha hizo na kisha kumfikisha Mahakamani.
 
Safi sana.
 
Daa!! Jamani, hela vijijini ilivyo ngumu? Kweli watu hawana huruma!
 
Hawa washitakiwa wataendelea kuhukumiwa au inakuwaje hapo
Kuna kila dalili huyo hakimu alikuwa anakula bila ushirika siyo rahisi siyo rahisi golikipa akajipigia mpira mwenyewe na kujifunga goli mwenyewe
 
Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Magugu Mkoani Manyara, Adeltus Rweyendera amehukumiwa na Mahakama ya Wilaya ya Babati kwenda jela miaka mitatu au kulipa faini Sh1.5 Milioni kwa kosa la kupokea rushwa ya Sh. 150, 000.

Hakimu mfawidhi wa Mahakama hiyo, Andrew Kuppa akisoma hukumu ya kesi hiyo namba 137/2020 mjini Babati, amesema mshtakiwa huyo aliomba na kupokea rushwa hiyo kinyume na kifungu cha 15 cha sheria ya kuzuia na kupokea rushwa namba 11/2007.

Amesema Rweyendera aliomba fedha hizo kutoka kwa wazazi naa ndugu wa washtakiwa watatu ambao walikuwa wana kesi namba 242/2020 ikiwa ni kishawishi cha kuwasaidia na kuwaachia.

Amesema kutokana na ushahidi uliotolewa ukiongozwa na mawakili wa Takukuru, Martin Makani na Evelin Onditi, usioacha shaka dhidi ya mshtakiwa huyo, mahakama imemkuta na hatia na kutoa adhabu kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai ya mwaka 1985.

Mkuu wa Takukuru mkoani Manyara, Hole Joseph Makungu amedai kuwa walipokea taarifa kwa msiri kwamba hakimu huyo alitaka fedha hizo wachangishane wazazi na ndugu.

Makani amesema baada ya kupokea taarifa hiyo ofisi yao ilifanya uchunguzi wa kina na kubaini kuwa ni kweli kesi tajwa ipo katika mahakama ya mwanzo Magugu na ilikuwa inasikilizwa na hakimu Richard Rweyendera.

"Uchunguzi wetu pia ulibaini kuwa washtakiwa hao walikuwa watatu, hivyo Hakimu huyo alitaka watoe Sh50,000 kila mmoja," amesema Makungu.

Amesema baada ya kujiridhisha na ukweli huo, maofisa wa TAKUKURU waliaandaa mtego wa rushwa na kufanikiwa kumkamata na fedha hizo na kisha kumfikisha Mahakamani.
Njaa haina mbabe,au kataka kupora lindo la simba.
 
Kadagaa!! Hakimu mahakama ya mwanzo, manyangumi 🐳🐳 wanaokula hongo za mabilioni wala hawakamatwi, haya ni matokeo ya upelelezi wa kukaa ofisini kusubiri kuletewa malalamiko badala ya kufanye upelelezi "under cover"
 
You are right. Enzi za kufanya uchunguzi wa under cover haupo Tena. Siku hizi habari kwenye magazeti hazina mvuto Tena.
Mfano. Katibu kata wa Tarime ang'ara.
Kijiji chapata umeme wa REA
Mjumbe abaka mbuzi.
Wanawake wakiwezeshwa wanaweza
Wabunge wapenzi wa Simba waugua matumbo ya kuhara..etc
 
Lakini pia nimpe pole huyu hakimu maana wengi alio wahukumu kwa kuwaonea Wanamsubiri. Atawakuta washakua MABEBERU kule lodge ya serikali. Akitoka baada ya kifungo line yake ya simu itakua imechoka mbaya kwa kutumika ovyo.
 
Hii nchi mahakimu, polisi, waalimu, watumishi wa halmashauri, manesi, madaktari njaa itawaua.

wakati mwingine hua nimipata nafasi ya kujichanganya kwenye anga zao kama niko vizuri nawapa tu hela ya kula bila kuombwa, wana njaa sio kidogo, mishahara midogo halafu kazi ngumu na kubwa.

Hakimu akiomba 150,000 mpe tu wala usimpeleke takukuru.
 
Wangekuwa wanasimamia haji Bila upendeleo na kwa wakati,hata wasingekuwa na sababu ya kufanya yote hayo, ila wangekuwa wanapewa shukrani za heshima na sifa ya utendaji mzuri.Ila kwa huyo yawezekana kaingia anga za wenyewe.
 
Back
Top Bottom