Manyara: Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

🥶🥶🥶kwa haibu marehem alituletea wanaume na jamiiin kwa ujumla naomba adhabu yake ianzieee hapa duniani....ikiwezekana azikwe bila udongo....foolish man
 
Tandu bhana! Yaani wanawake wote hawa! miaka 50! unaamua kujinyonga!! Aisee tutafute pesa kwa bidii, maana hiyo ndiyo sabuni pekee ya roho kwa wanawake walio wengi.
Kuna baadhi ya watu wachache katika jamii kwa sasa hivi hovyo sana, unakuta mtu ana 50 yrs au 60 lakini ni hovyo hovyooooo yaani jinga taboralasa, akina Deo Kisandu mfano humu JF, chizi si chizi, kichaa si kichaa, mwehu si mwehu, teja si teja, bangi yaani hata hajielewi, haeleweki, so hata akijinyonga akiwa na 50 or 60 yrs usishtuke.

Mwingine ni Mange Kimambi, shithole, dirty naturally, hovyo, mpuuzi, shenzi, nuksi, chafu, laana sana yule mwanamke
 
Back
Top Bottom