Manyanyaso niliyoyapata nilipokuwa naishi kwa ndugu

Shangazi wewe upumzike kwa Amani! Ulikuwa una mdomo tukiwahi kula una sema tuna tetemeka njaa mara tuna kula kama viwavi jeshi! Nakushukuru kwa malezi yako ume nifanya niwe mpishi mzuri! Na kuto jichanganya hovyo na magroup
 
Mithali 6:32

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA,AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE.

ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA.

90% ya matatizo yako na ndg zako/majirani sababu zilikua ni mambo ya Ngono tu.

Nb:Mimi pia sio malaika.

J'Pili Njema wadau.
 
Shangazi wewe upumzike kwa Amani! Ulikuwa una mdomo tukiwahi kula una sema tuna tetemeka njaa mara tuna kula kama viwavi jeshi! Nakushukuru kwa malezi yako ume nifanya niwe mpishi mzuri! Na kuto jichanganya hovyo na magroup
Hahahahahahaahahha eti kama viwaviiii
 
..........Binadamu mnasaidiwa ila bado mnalialia.

Mngebaki makwenu!!
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka kwetu ila mwisho wa siku aliondoka haja chafuliwa neno hata moja.
 
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka
Sio kusaidiwa mkuu. Maneno yao maana kipindi hichoo mtoto wao alikuja akaka kwetu ila mwisho wa siku aliondoka haja chafuliwa neno hata moja.

Ni kawaida ya binadamu hatuna shukrani..

.....................Ndugu wamekusaidia kukuhifandi kipindi unahangaika na maisha leo una kuja kuwachafua huku.

Ubinadamu kazi.
 
Ni Maisha Tu Lazima Yawe Na History
Ingawa Wengine Wakifika Kwa Ndugu Wanafanya Tu Dharau Akiambiwa Habadiliki

Mfano Unarudi Home Muda Unaotaka Wewe Mwenyewe, Ukiondoka Unasema Natoka
Hapo Hujaaga

Watu wanasahau kila familia na aina yao ya maisha ukiaamua kwenda kuishi nao ubadirike uishi kwa staili yao.

..................Kama kwenu mnakunywa chai saa moja asubuhi hapa muda wa chai ni saa nne.
 
Shangazi wewe upumzike kwa Amani! Ulikuwa una mdomo tukiwahi kula una sema tuna tetemeka njaa mara tuna kula kama viwavi jeshi! Nakushukuru kwa malezi yako ume nifanya niwe mpishi mzuri! Na kuto jichanganya hovyo na magroup
sijui mashangazi huwa wana nini hawa viumbe sijawahi kuona shangazi ambaye hapelekeshi yaani wanajiona kama wao ndio wazazi halisi.
 
Ni Maisha Tu Lazima Yawe Na History
Ingawa Wengine Wakifika Kwa Ndugu Wanafanya Tu Dharau Akiambiwa Habadiliki

Mfano Unarudi Home Muda Unaotaka Wewe Mwenyewe, Ukiondoka Unasema Natoka
Hapo Hujaaga
Kuna wale wasiojigusa.......

Anaamka subuhi anaingia facebook

Mwenyeji upige kazi zooote na chai umuandalie

Akila anaacha vyombo anaenda kuangalia movie na kumiliki remote

Mchana umwite ale

Jioni umpikie ale umwoshee vyombo

Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
 
nimependa hiyo intro "
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…