Manyanyaso niliyoyapata nilipokuwa naishi kwa ndugu

Ni Maisha Tu Lazima Yawe Na History
Ingawa Wengine Wakifika Kwa Ndugu Wanafanya Tu Dharau Akiambiwa Habadiliki

Mfano Unarudi Home Muda Unaotaka Wewe Mwenyewe, Ukiondoka Unasema Natoka
Hapo Hujaaga
Mkuu,
Kuna watu hamnazo,nimewahi hata Mimi kuona Mtu anakaa kwa ndugu yake alafu analeta kiburi,
Mi nadhani hii tabia ya kukaa kwa Mtu miezi zaidi ya 5 sio nzuri pia ukiwa Mtu mzima
 
Ni kawaida ya binadamu hatuna shukrani..

.....................Ndugu wamekusaidia kukuhifandi kipindi unahangaika na maisha leo una kuja kuwachafua huku.

Ubinadamu kazi.
Sema sija,andika yotee ila watoto wao kama bosi mimi ndo nilikuwa natumwa kila,dakika mpaka house nadeki watoti wao wakiamka utasikia choo kichafuu. Yeye hapo anatafuta chaii. Mwingine anakuita uchote maji hukoo kisaa unaonekana una nguvu waoo wako wanaangalia tv na kupiga story.

Sema hapo nimeandika juu juu.

Halafu at the end of the day ni maneno
 
Kuna wale wasiojigusa.......

Anaamka subuhi anaingia facebook

Mwenyeji upige kazi zooote na chai umuandalie

Akila anaacha vyombo anaenda kuangalia movie na kumiliki remote

Mchana umwite ale

Jioni umpikie ale umwoshee vyombo

Hahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaa

Badili tabia
 
Mama Mwenye Nyumba Akimwambia Tandika Kitanda Unacholalia, Fua Shuka Unazotumia Hataki
Changamoto Ni Nyingi Sana, Unakuta Hayo Uliyosema Yote Hapo Juu Yanafanywa Na Mtu Mwenye Miaka 25 Halafu Anajiona Kawaida
 
Japo sijasikiiza upande wa hao ndugu zako, siwezi kuwahukumu, ila bila hata kuwasikliza, wewe unaonekani ni hovyo sababu unaleta wanawake kwenye nyumba uliyokaribishwa kwa kusaidiwa tu? mtu smart asingekuwa na muda huo, angekuwa ni kutafuta kazi na sio kwenda vijiweni kupiga story

Mtu muwajibikaji hakai kwa ndugu muda mrefu kiasi hicho hadi akazoeleka mtaani kiasi hicho, watu wakamfahamu na hadi akajiachia kiasi cha kuingiza na wanawake ndani

Mtu makini anajua hapa sio kwangu, na ninawapa mzigo hawa watu, cha kwanza kabisa ni kutafuta kazi yoyote nikapange kwangu kwanza...
 
Mithali 6:32

MTU AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA,AFANYA JAMBO LITAKALOMWANGAMIZA NAFSI YAKE.

ATAPATA JERAHA NA KUVUNJIWA HESHIMA WALA FEDHEHA YAKE HAITAFUTIKA.

90% ya matatizo yako na ndg zako/majirani sababu zilikua ni mambo ya Ngono tu.

Nb:Mimi pia sio malaika.

J'Pili Njema wadau.
Watu wanafaya sex (hiyo unayoiita kuzini) vizuri na wanafurahia, na wana maisha ya furaha. Matatizo ya huyo jamaa hayajatokana na Ngono bali yametokana na kuishi na watu wenye shuku mbaya na kupenda ku control binadamu wenzao!!!
 
We unaleta wanawake kwenye nyumba uliyokaribishwa kwa kusaidiwa tu? We ni hovyo sana, mtu smart asingekuwa na muda huo, angekuwa ni kutafuta kazi na sio kwenda vijiweni kupiga story
Kweli aisee
Ukikaa kwa watu zuia tamaa za papuchi, jamaa angetoka na mabinti wa mbali sio hapo mtaani
 
Watu wanafaya sex (hiyo unayoiita kuzini) vizuri na wanafurahia, na wana maisha ya furaha. Matatizo ya huyo jamaa hayajatokana na Ngono bali yametokana na kuishi na watu wenye shuku mbaya na kupenda ku control binadamu wenzao!!!
Asante mkuu we ndo muelewa naona wengine wanaonge kwa kuwa hawajuii vizurii ninacho maanishaa.
 
Kweli aisee Ukikaa kwa watu zuia tamaa za papuchi, jamaa angetoka na mabinti wa mbali sio hapo mtaani
Huyu jamaa kaeleza upande wake tu, hatujasikiliza upande wa ndugu anaowalalamikia nao wana lipi la kusema kuhusu yeye, ila kwa haraka haraka tu, anaonekana sio mtu muwajibikaji,
Mtu muwajibikaji hakai kwa ndugu muda mrefu kiasi hicho hadi akazoeleka mtaani kiasi hicho, watu wakamfahamu na hadi akajiachia kiasi cha kuingiza na wanawake ndani

Mtu makini anajua hapa sio kwangu, na ninawapa mzigo hawa watu, cha kwanza kabisa ni kutafuta kazi yoyote nikapange kwangu kwanza...
 
Huyu jamaa kaeleza upande wake tu, hatujasikiliza upande wa ndugu anaowalalamikia nao wana lipi la kusema kuhusu yeye, ila kwa haraka haraka tu, anaonekana sio mtu muwajibikaji,
Mtu muwajibikaji hakai kwa ndugu muda mrefu kiasi hicho hadi akazoeleka mtaani kiasi hicho, watu wakamfahamu na hadi akajiachia kiasi cha kuingiza na wanawake ndani

Mtu makini anajua hapa sio kwangu, na ninawapa mzigo hawa watu, cha kwanza kabisa ni kutafuta kazi yoyote nikapange kwangu kwanza...
Ni mwaka tu. Na ni mwajibikaji sana ukienda kwao leo hii utaona huruma maana mazingira ni machafu balaa na mzee ana lalamika watoto ni wazururaji tu.
Na nikiongea nao mpaka leo huwa wanasema kuwa wanatani uwepo wangu na huwa anajishtukia na kusema ni msamehe kwa kila kitu alijaribu kuwalinda watoto wake wa,kike wasije shawishikaa.

Na sijawahii kuwa na demu wala kuingiza mademu kwake tokea nime kaa pale.

Mtani kuzoeleka ni rahisi kutokana na waoo

Saizi miaka imeenda sana karibia 5 naa.
 
Mm nilifukuzwa na nilisingiziwa kuwa nimeiba document muhimu ambazo hata kama ningeziiba kweli, zisingenisaidia chochote, na zisingenipa hela yoyote, kwa huyo ndugu Hamna kazi useme uvivu wangu, beki 3 wapo, chumba changu nafagia mwenyewe, nguo najifulia, na mashuka yangu ya kulalia najifulia, sikuingiza dem ndani...

Kama hutaki kukaa na nduguyo na unaona kero kukaa nae, lyk anakupa mzigo wa bajet na anakunyima uhuru, mwambie ukweli Kwa njia ya ustaarabu..kumsingizia maovu Kwa njia ya chuki sio fresh Linko
 
Ni mwaka tu. Na ni mwajibikaji sana ukienda kwao leo hii utaona huruma maana mazingira ni machafu balaa na mzee ana lalamika watoto ni wazururaji tu.
Na nikiongea nao mpaka leo huwa wanasema kuwa wanatani uwepo wangu na huwa anajishtukia na kusema ni msamehe kwa kila kitu alijaribu kuwalinda watoto wake wa,kike wasije shawishikaa.

Na sijawahii kuwa na demu wala kuingiza mademu kwake tokea nime kaa pale.

Mtani kuzoeleka ni rahisi kutokana na waoo

Saizi miaka imeenda sana karibia 5 naa.
mwaka mmoja ni muda mrefu kukaa kwa mtu kama hufanyi kazi, halafu mwanzoni ulisema kuna demu mlienda kupima ukawa unamuingiza ndani, sasa hivi unabadili maelezo tena
 
Back
Top Bottom