Vyakula kwani wanawake Huwa tunawaletea vikiwa vimepikwa kabisa? Huwa mchango wake mdogo wakutupikia tukashiba na kwenda kutafuta pesa,unahesabika kisheria na ana share yake kwenye mali mlizochuma,japo sio 50% ila wanapata 30% mkuu......
Sure mkuu,kabla ya kutoa ushauri au kutafuta solution ni vizuri zaid kujua root cause ya tatizo,huwezi kutoa ushauri au hukumu kwa just the surface level of symptom,kumaliza tatizo ni kuuondoa mzizi wa tatizo ili tatizo lisijirudie tena.