SuperHb
JF-Expert Member
- Mar 21, 2016
- 992
- 968
Habari zenu,,,
Nimefanya MANUNUZI bidhaa mtandaoni kwa kutumia VISA CARD ya Vodacom,,baadae niliona bidhaa sio Bora,,,nikaamua kucancel order,,, nikarudishiwa pesa niliyofanyia malipo,,, REFUND imekamilika,,,ila kwa bahati mbaya Hela kwenye VISA CARD Vodacom,,, inaonyesha Salio 0,,,haijaingia,,,nichukue hatua Gani ndugu,,,maana nimewapigia VODACOM wananizungusha,,