Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,792
- 218,434
Hakika kabisaUTADHALILIKA SANA , wazalamo wana msemo mmoja kwamba , ACHOLILE KACHORA
Mkuu hii kitu imenishangaza sana , inakuwaje Raia anasimamisha shughuli mitaa yote ?Hakika kabisa
😂😂weka "vindeo" tuone
Ni hivi , Mishikaki yote ilifagiliwa yaani !!Wewe ulitarajia nini kama Bilionea kaingia kwenye Nyama Choma katika kipindi hiki cha njaa ya kipato na chakula kwa kila mtanzania kwa sasa??
Si walikuja wakijua anaweza kuwanunulia Mishikaki woote waliokuwepo hapo?
Lakini je!
Bilionea huyu aliweza?
Au aliishia blah blahtu?
Lakini iweje wamfuate kwenye mushikaki tu,lakini kwake au ofisini kwake wasiende?
wakati wanapajua na wanampenda??
Matukio Mengine ni ya kupanga tena ya kizamani kidogo.
Huyu ana Test Mitambo,baada ya kusikia mikutano Ruksa very soon!
Haya bwana mleta mada,tupe mrejesho?
Kiboko halafu yuko kaburini ! sijaelewa mkuu , fafanua kidogoKiboko yake Yuko kaburini SASA hivi.........maana huyo ndio alikuwa aangalii mbwembwe za MTU au umaarufu wake
Vp kapicha ili kunogeshaLeo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya Nyanya na Mishikaki , iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo , Bilionea Joseph Mbilinyi , ambaye pia anafahamika kama Sugu au RealJongwe kama anavyofahamika siku hizi ama waweza kumtambua kama Mfungwa wa kisiasa .
Kama masihara tu akaibuka kwenye soko la Igawilo , ambako alienda kununua nyanya na vitunguu , yaani viungo mbalimbali zikiwemo karoti na pilipili hoho kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake , na baadaye wadau wakampeleka hadi eneo la kuchomea mishikaki , ili waitafune kidogo .
Basi bhana kufumba na kufumbua akajikuta amezungukwa na umati ambao haufahamiki ulikotokea ! Hakika huyu jamaa anapendwa Mbeya Mjini ! kwa kifupi ni kwamba Shughuli za soko ni kama zilisitishwa kwa muda kupisha Sugu anunue nyanya yaani ! Ilifika wakati tukahofia kwamba huenda Polisi wangevurumisha mabomu ya machozi , maana umati wake unazidi ule wa mechi ya Yanga VS Al hilal ya Sudan kwa Mkapa.
Kwenye Hili nimejifunza jambo moja kubwa sana , kwamba USISHINDANE NA ALIYEJAALIWA , UTADHALILIKA SANA , wazalamo wana msemo mmoja kwamba , ACHOLILE KACHORA .
Nilikuwa namaanisha wale mabilionea wote wanaoleta mbwembwe aliwadhibiti........mfano rugemalira Yule kanji Bai.........na wengine .........Kiboko halafu yuko kaburini ! sijaelewa mkuu , fafanua kidogo
yanakuja mapicha ya kutishaVp kapicha ili kunogesha
Picha picha picha kamandaaLeo hii huko Mbeya Mjini kulikuwa na ziara ya manunuzi ya Nyanya na Mishikaki , iliyofanywa na Mbunge wa zamani wa Jimbo hilo , Bilionea Joseph Mbilinyi , ambaye pia anafahamika kama Sugu au RealJongwe kama anavyofahamika siku hizi ama waweza kumtambua kama Mfungwa wa kisiasa .
Kama masihara tu akaibuka kwenye soko la Igawilo , ambako alienda kununua nyanya na vitunguu , yaani viungo mbalimbali zikiwemo karoti na pilipili hoho kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwake , na baadaye wadau wakampeleka hadi eneo la kuchomea mishikaki , ili waitafune kidogo .
Basi bhana kufumba na kufumbua akajikuta amezungukwa na umati ambao haufahamiki ulikotokea ! Hakika huyu jamaa anapendwa Mbeya Mjini ! kwa kifupi ni kwamba Shughuli za soko ni kama zilisitishwa kwa muda kupisha Sugu anunue nyanya yaani ! Ilifika wakati tukahofia kwamba huenda Polisi wangevurumisha mabomu ya machozi , maana umati wake unazidi ule wa mechi ya Yanga VS Al hilal ya Sudan kwa Mkapa.
Kwenye Hili nimejifunza jambo moja kubwa sana , kwamba USISHINDANE NA ALIYEJAALIWA , UTADHALILIKA SANA , wazalamo wana msemo mmoja kwamba , ACHOLILE KACHORA .
Aliyetangulia huwezi kumkutaAcholile Kachola maana yake nini mkuu?
Basi hiyo ndiyo iliwaleta hapo,na Sugu alijua jinsi ya kuwatumia sababu ya ulafi wao wa nyama.Ni hivi , Mishikaki yote ilifagiliwa yaani !!
Kwani kuna binadamu anaishi milele?Nilikuwa namaanisha wale mabilionea wote wanaoleta mbwembwe aliwadhibiti........mfano rugemalira Yule kanji Bai.........na wengine .........