Manumba, Tunataka Taarifa ya Mtoto wa Mengi/Mengi

Mengi aliwagaragaza vibaya na kuna wakati IGP alikiri uozo huo.SACP NZOWA wa idara ya kudhibiti madawa alisimamishwa kwa muda lakini ikaonekana yeye alitumiwa bila kujitambua (kama toilet paper) ndiyo maana alirudishwa kwenye kitengo hicho lakini watuhumiwa wengine wote ni kweli walitumiwa na waasi na walikuwa na mchezo mchafu wa kutaka kumdhalilisha mzee Mengi na mtoto wake kwa ujira wa rushwa lazima angefungwa na reputation ya Dr .Mengi katika jamii na biashara ingedorora,Lakini yeye alipata taarifa mapema na kuzima uasi wa jeshi la polisi na interpol tanzania.Mengi anamaadui wengi hasa wafanyabiashara ya madawa la kulevya na ufisadi waliowatia viongozi wa nchi hii mifukoni mwao.
 
Kuna nchi nyingine kama Tanzania ambapo tuhuma nzito kama hizi zitaishia hewani?
 
Sifa moja ya Watanzania ni kufanya mambo kisanii/kishkaji. Bw Reginald mengi alilalamikia kitendo cha polisi kumbambikizia mwanae madawa. Hadi leo hatuambiwi nini kinaendelea. Dr Mwakyembe ameitaja kwenye taarifa yake.

Imefika mahali kama nchi tuache usanii. Hizo ni tuhuma nzito na kama nchi tuna haki ya kujua nini kilijiri. Kama ni tuhuma za uongo au ukweli hatua zichukuliwe. Hata swala la Dowans limeisha kimya kimya, nini kinaendelea, mbona tunafichwa?

Siridhiki na nchi inavyoendeshwa

umeamua ulete uzi humu ili iweje?ni watz wangapi wanyonge wanaoonewa na kudhulumiwa haki zao? Mambo ya mengi nenda kaongee naye nyumban kwake atakupa updates na siyo humu jf,nyie ndio mnaoijaza takataka jf.
 
Back
Top Bottom