Manumba, Tunataka Taarifa ya Mtoto wa Mengi/Mengi

nadhani wanatuchukulia poa ndo mana wanafanya wanavyotaka, mambo kibao wanafanya lakini wapo kimya sana na sisi wenyewe waoga mana ukifwatilia sana watakuona kimbelembele na watatafuta njia ya kukunyamazisha..
 
Mim nilichukia polisi muda mrefu sana kwani wao wana hangaikia maisha yao magumu kwa kuwakamata vijana waendesha bodaboda eti wanaenda kwenye vijiwe na kuwapa amri eti kila mtu asimame kwenye pikipiki yake ambaye hana pikipki wanondoka nae kutoka huko walikompeleka ndugu mpaka watoe laki moja au elfu hamsini inauma sana jamani
 
Mim nilichukia polisi muda mrefu sana kwani wao wana hangaikia maisha yao magumu kwa kuwakamata vijana waendesha bodaboda eti wanaenda kwenye vijiwe na kuwapa amri eti kila mtu asimame kwenye pikipiki yake ambaye hana pikipki wanondoka nae kutoka huko walikompeleka ndugu mpaka watoe laki moja au elfu hamsini inauma sana jamani

Mh! mimi hapa sichangii maana nikichangia kwa hasira nilizonazo nawezapigwa BAN ya miaka 3. ila Poliso,polisi,polisi.....ccm,ccm,ccm,....serikali,serikali,serikali ya Tanzania........:flame:.iko siku mtajua nina uchungu kiasi gani!
 
Si cha kushangaza kwa hii nchi..uwa wanatengeza hoja ili kupoteza hoja nyingine.Hii nchi ni nchi ya matukio,mara babu Loliondo,mara posho,mara mwakyembe,mara mengi,mara jairo,mara madaktari...yaani kabla hitimisho ya lingine halijaisha kuna jingine linakuja...shit!!
 
tanzania na watu wake ni zaidi uijuavyo Manumba + Mwema = Kifo Kinyama

Ukitaka kujua ni jinsi gani jeshi la polisi limeoza basi fanya kuiangalia picha nzima ya kesi ya zombe ilivyoanza, jinsi walivyotaka kuizima ndani kwa ndani wao wenyewe hao Polisi wakubwa mpaka pale wazee walipomtonya JK ukweli wa mambo ndipo hatua ikachukuliwa ingawa pia hatua hizo zilitayarishwa kwa makusudi yaliyo dhahiri na hao mapolisi wakubwa kuwa Zombe ashinde ...tafuta hukumu ya kesi ile uone jaji alisemaje, Nashangaa sana siku hizi kusikia kitu kinaitwa ulinzi shirikishi, kama hulijui jeshi letu lilivyo humo ndani basi peleka umbea wako kwao na utarajie ama kupona au yakupate
 
Manumba kashindwa kazi, ajiuzulu.
Kilaza kama huyu anafanya nini kwenye system??
Sifa moja ya Watanzania ni kufanya mambo kisanii/kishkaji. Bw Reginald mengi alilalamikia kitendo cha polisi kumbambikizia mwanae madawa. Hadi leo hatuambiwi nini kinaendelea. Dr Mwakyembe ameitaja kwenye taarifa yake. Imefika mahali kama nchi tuache usanii. Hizo ni tuhuma nzito na kama nchi tuna haki ya kujua nini kilijiri. Kama ni tuhuma za uongo au ukweli hatua zichukuliwe. Hata swala la Dowans limeisha kimya kimya, nini kinaendelea, mbona tunafichwa? Siridhiki na nchi inavyoendeshwa
 
Join Date : 16th February 2012
Posts : 1
Rep Power : 0


Welcome...nadhani tume ikiundwa itakuja na jibu muafaka...nchi ya tume hii kijana!!

Mkuu issue hapa sio mtu kajiunga lini humu jf. Issue aliyoi-table ina mashiko au laaah!
 
. Ukishailinda system hata kama wewe kilaza watakulinda tu

Hii nchi haina cha ukilaza wala nini the whole system ni Mbovu. Napenda kuifana nisha na Gari mkweche.
Yaani ukiinunua uvue systems zote uvike nyingine. Hata ukiingia kichwa utakwama tuuuu.
Ukiweka tone moja la majisafi kwenye pipa la maji taka yatasaidia nini? Kazi bure.
 
Haya maswali magumu hivi unamuuliza nani; SIRI KALI ya mkulu JK, au? You are kidding!
 
Wana JF SALAAM!

Naomba kueleweshwa. Ni kweli huyu kijana alitaka kubambikiwa kesi?
 
Waulize hao waliokupa hizo tetesi. Kama kulikuwa na ushahidi kilichowazuia polisi kufungua kesi ni nini?
 
Jamani ni kama mwaka sasa!!! Ile kesi ya mtoto wa mengi kukutwa na madawa ya kulevya imeishia wapi? mana nakumbuka mengi alisema mwanae kawekewa na madawa na wakuu wa usalama !! je hao wakuu walichukuliwaje na je huyo mtoto wa mengi imekuwaje!!! Jamani mbona kimya haya ni mambo muhimu kuyajua mana kimya mkuu wa usalam kuusishwa na tuhuma za madawa ya kulevya!!!!
 
Iliishika serikali na jeshi la polisi pabaya. Sasa wana la kusema? Hawakujua mzee Mangi ana usalama mkubwa kuliko hata wao and he is also well informed, informed of everything!!!!
 
Mengi aliwatuhumu publicly na kuwataka Watubu, Wajiuzuru na kuwaambia kama wanaona amelizalilisha Jeshi la polisi kwa kulizushia Uongo, basi Wamshitaki na kwamba yeye amejiandaa na Ushahidi wote. Wako kimya mpaka leo!

Kama Mengi kasema uongo, mbona hawataki kujiosha mbele yetu kwa kumshitaki ili tujue kwamba kweli amelichafua Jeshi la Polisi? Wanaogopa nini!


angekuwa mlalamikaji Jerry Muro angebebwa kama mtoto wa kuku kwa mwewe lakini hapa sent inafanya mambo yasitokee
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom