Breaking news
𝗠𝗔𝗗𝗨𝗡𝗗𝗨𝗞𝗔
Licha ya kutokuwepo leo kwenye mazoezi Ila Hadi muda huu Kipa mpya wa walima

(benno) amezima simu licha ya kufanya nae mazungumzo mara kwa mara leo kuelekea Kariakodabi,,Kila kipa anaogopa mechi hii na wanataka kumwachia mtoto Ally.
Sasa mzee wangu Mangunguu mlikuwa hamjui Kama Kuna dabi wikiendi hii mlikuwa busy na vikao kutelekeza maagizo ya Mwekezaji

tu.Poleni sana tena sana kesho asubuhi nitakuwepo na nyie mwanzo mwisho.
NB:Nzala wote Facebook hawamani macho Yao

Nawakumbusha tu kesho mechi ni saa 11:00 jioni na siyo saa 1:00 Usiku msikimbie.