engine search
Senior Member
- Jan 4, 2020
- 174
- 89
Mkuu tupe mrejesho hio ya kupima ikoje?Tupo madaraja tofauti wakuu... sisi wengine tunanunua hizi za kupima pamoja na zile perfume kutoka Syria
View attachment 1201015View attachment 1201016
Creed Aventus kidogo ivii ivii kidogo inipe jimama sema nilichomoa kitu kimetulia sana utaacha harufu mtaa mzima.Huu uzi kama umepoa siku hizi...
Anyway mwenye review ya haya manukato...
Naona yanasifika sana huko instagram...
Naamin sehemu yenye kupata review za hukika ni hapa tu.Uko kwingine wanaandaga watu wao....View attachment 1323108View attachment 1323109View attachment 1323110
Sent using Jamii Forums mobile app
Clone hii hii ama ni original?Creed Aventus kidogo ivii ivii kidogo inipe jimama sema nilichomoa kitu kimetulia sana utaacha harufu mtaa mzima.
Clone boss original 1million
Iko vizuri mkuu, zinadumu muda mrefu tu
Wako vizuriCheki @perfumehouse_tz page instagram au fika Sinza Madukani opposite na Jonijo Hair upate perfume unayotaka.
Wako vizuri
Sent using iPhone
Mkuu soma post namba 465 kuna mwamba kaelezea vizuri sana kuhusu hiyo creed aventus na clone yake. Soma kwanza hiyo post maana kaweka mpaka picha ya kitu original.Huu uzi kama umepoa siku hizi...
Anyway mwenye review ya haya manukato...
Naona yanasifika sana huko instagram...
Naamin sehemu yenye kupata review za hukika ni hapa tu.Uko kwingine wanaandaga watu wao....View attachment 1323108View attachment 1323109View attachment 1323110
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...Mkuu soma post namba 465 kuna mwamba kaelezea vizuri sana kuhusu hiyo creed aventus na clone yake. Soma kwanza hiyo post maana kaweka mpaka picha ya kitu original.
Club nuit bei yake ipojeMkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...
Club nuit intense by armaf ndio clone bora inayokimbizana na creed aventus..Nimewahi kuitumia lakini katika pita pita zangu mliman city nikabahatika kujaribu clone nyingine zinazotengenezwa hapa bongo...
Hazifanani sana na club nuit intense(sizungumzi aventus original sabab sijawai tumia).Hio clone ina harufu yake ya kitofauti kipekee.Nikaipenda nuit ilipoisha nikaachana nayo...
Sasa mantiki yangu ndugu ni kujaribu hizi clone zetu za wabongo.Mana unaweza ukawa unaagiza manukato ya bei kubwa toka nje.Wakati wenzio for 30k wanapata bidhaa bora zaid hio uliyoagiza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli nilikuwa sijakuelewa,hapa nimekupata vizuri. Shukrani.Mkuu nadhani ujanielewa wacha nikufafanulie...