bEI PULIIIIIZZZ
Mkishauri wapendwa msemege na bei sio mtu anaenda anakutana na kitu inauzwa bei sawa na simu anayotumia.
AiseeeeePerfume 100,000? Hiyo perfume au malashi? Perfume ni kuanzia 500,000 kwenda juu
Hewaaa!!Perfume 100,000? Hiyo perfume au malashi? Perfume ni kuanzia 500,000 kwenda juu
Mkuu jaribu kuoga kwanza kabla ya kutumia perfume, una kucha chafu sanaTupo madaraja tofauti wakuu... sisi wengine tunanunua hizi za kupima pamoja na zile perfume kutoka Syria
View attachment 1201015View attachment 1201016
mkuu ivyo vyote ninavyo bado unyunyu tuKama uwezo wako umeishia hapo mkuu fanya kama mimi. Situmii unyunyu na maisha yanaendelea poa tu. hiyo elfu tano nunua sabuni uvae nguo safi, pia nunua sabuni ya 2000 ya kuogea uache kuogea sabuni xa kufulia kanzu.
asant saana mkuu nyie ndo watu mnaohitajika humutafuta inaitwa creed mkuu hata body spray utakuja kunishukuru
poapoa mkuu kwanza nikacheckTerre D Hermes -smart collection.Sema fake hizi zina mafua balaa.
Hivi we jamaa ulipotelea wapiusije ukawa unajipulizia hii
Umeikubali eeh, halafu ukipiga kidogo tu, inakunasa siku nzima.Dylan blue ni mwisho ni fire aisee
Siku hizi Kuna watu wananunua chupa tupu ukimaliza kutumia pafyumeInategemea umenunua wapi. Inawezekana hujapata kitu chenyewe. Watu wanalalmika sana mitandaoni wanaagiza wanapata famba, si kitu chenyewe. Ndiyo maana mimi nakwenda Macys napata kitu na boksi.
Halafu, cologne huwa ina react na kila mtu tofauti. So cologne moja inaweza ikanata vizuri kwenye ngozi ya ntu mmoja, halafu ukawa haikai sana kwenye ngozi ya mtu mwingine.
Pia, nchi/kipindi cha joto na baridi huwa tofauti.
Essenza ninayo pia (now you mentioned it I gotta look for it) lakini hii Aqua kwangu ina point zote muhimu kuanzia kunukia vizuri, projection mpaka longevity.
Ninachooenda kununua Macy's kuna wadada wale wanakuhudumia vizuri, wanakujibu maswali yako yote, wanakupulizia unavyotaka kuinusa kwanza kabla ya kununua kwa hiyo unanunua kitu ambacho harufu yake unaijua, si unajaribisha tu.