Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Jaribu hivi vinukio vitatu uone kama utavipenda, (vitajichanganya vizuri na mwili wako) kama unahitaji zaidi tuambie.

DGLBLU40TSM.jpg

Blue Light - Dolce Gabbana


giorgio_armani_acqua_di_gio_pour_homme_1.jpg


Giorgio - Armani

Dreamer_by_Versace_for_Men_EDT_5ml.jpg


Dreamer - Versace
 
Matumizi ya parfume inategemea mtu wengine wanapenda harufu kali wengine wanapenda wastan wengine wanapenda harufu iliyotulia wengine chachu kama product ya boss original wengine inayokaa kwenye nguo Kwa muda mrefu etc. Mimi ni mpenzi wa parfume ni napenda isiyo kuwa Na harufu kali wala chachu niayodumu kwenye nguo sio zaidi ya Masaa ishirini Na Nne ya kwanza ni Pollo blue haipatikani sana kwenye maduka bongo tomford zipo aina nyingi zipo madukani bei yake kuanzia laki Na ishirini ipo Hugo boss. Ipo madukani kuanzia elfu themanini ukimix hizo Tatu utapenda siku yako. Hapa nazungumzia original sio fake. Karibu katika ulimwengu wa wapenda parfume
 
Paco Rabbane
......................ndugu yangu siku zote Uzuri wa kitu unaondoka kwa mazoea,hata kama tutakupa majina 100 ya Perfume,hio ambayo utaichagua na kuitumia ukishaizoea tu kwako itakua sio nzuru tena lakini atakae pita karibu yako ataipenda na hata kukuuliza,kwa maana kwake yeye itakua na harufu nzurI(UZURI UNAPOTEA KWA MAZOEA)kwa maana hio huna haja ya kutafuta ipi ni kiboko,tafauti itakua ni Gharama,hii bei mbaya na hii ni rahisi
 
Jaribu na hii!

ni nzuri sana ukiwa unasafiri nayo kimataifa!

8183402-wealth-and-success-large-bundle-of-us-dollars-isolated.jpg


hii nayo domestically inalipa sana! japo ukiwa na hiyo nyingine utakuwa juu zaidi!

DSCN8754.JPG


mkuu hizi ndizo perfume bora zaidi duniani kwa mwanaume!

hizi nyingine mbwe mbwe tu!

Hahahaaaaa hii nimeipenda mno!!! Lyke
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom