Manukato (Perfume) nzuri kwa mwanaume

Upande gani....najua kila duka hio barabara. Njia ya kwenda usalama inagawa makaburi katikati. Baada ya makaburi kuna car wash,then soko la matx,then yard ya farmer's choice, barclays iliofungwa ndio zinafuata shops fulani za cosmetics etc.

Upande wa hugo kuna duka la vifaa vya gym,tyre service centre imefungwa,jengo la ofisi, kuna sehemu wanatengeneza ac, machi machi guest house,kuna internet cafe, then hugo. Wewe duka lako lipi?

Hapo hapo njia ya Usalama inapogawa makaburi kama unatoka Salender ni kushoto, sasa we kata kulia. Kuna maduka hapo yamejipanga kulia , yanaangalina na bar/food joint na car wash. Which means kama unatokea BAKWATA Head Office ukimaliza HUGO tu unakata kushoto, halafu maduka yapo kulia.
 
Ok nishayajua hayo maduka...short cut ya kwenda four ways,the governors.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom