The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Nilikuwa natazama tv ya wafaransa
mara mtangazaji akasema sasa nitamu intavyuu mwanamuziki
ambae amepewa title ya "the father of world music"...
Nikasubiri kwa hamu kumuona mwanamuziki huyo....
Kumbe alikuwa ni manu dibango mwanamuziki wa cameroon....
Na alipoanza kum interview....ndio nikashangaa zaidi......
Kumbe manu dibango alianza kupiga muziki apolo theater kabla
hata michael jackson na quincy jones hawajakuwa maarufu....
Na michael jackson aliiba kipande cha muziki wa manu dibango
na manu dibango akamshitaki na kushinda kesi..........
Na sasa anamshitaki rihanna.......
Halafu nyimbo za manu dibango zimefanyiwa sample na watu wengi
akiwemo jay z.......
Na manu dibango ameimba karibu na kila mwanamuziki maarufu wa dunia hii...
Katika lugha nyingi tofauti......
Binafsi nafikiri angekuwa ni mmarekani au raia wa ulaya
heshima yake ingekuwa kubwa kuliko aliyokuwa nayo....
Cha ajabu hata sisi waafrika wengi hatujui status yake kwenye muziki
wa dunia..........
Utakuta msanii wa africa anasema anatamani kuimba na r kelly
wakati manu dibango hamjui.........
Kwa kuwa ni mwafrika huwezi kuona akipewa heshima kama
wasanii wa ulaya na marekani.........wakati ukweli yupo kwenye ligi ya
wasanii wachache sana.........
Hao akina r kelly na rihanna hawaingii hata robo.....