hivi kwanini nembo ya polisi isiwe jembe na nyundo ? mmeachiwa mshinde kwa 100% bado mnanyanyasa watu , mnataka nini ?Unafikiri uchochezi mnao ufanya haunekani? kwanini msikae kimya kama mmejitoa nini kina wafanya muendelee kutoa matamko ya kuwatisha watu?