Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Manoah na Mimisa:Hakuna mapenzi tena

Status
Not open for further replies.
ndo hivo..tumejitahidi kadri tulivoweza..but imeshindikana..
copy: Baba V ,cuzin @snowhite,my dia Rich woman,ma dia Zion Daughter na wote wahusikao umu cc

pole jamani mimisa.. najua umevumilia mengi sana toka kwa manoah.. ucikonde.. utampata mwingine zaid ya huyo.. ila hawa wafuatao kaa nao kando.. Arushaone.. Baba V (japo ni mwenyekiti).. saudari.. Safari_ni_Safari.. Erickb52 na Bishanga.. mwanaume pekee ambae ninakushauri akija umkubali ni mpwa wangu Elli.. hana kashfa wala tuhuma.. halafu sio muhuni..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
aisee rafiki yangu manoah katemwa! hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...!!!. haka kavulana kalikua kanibanabana kwa mimisa. sasa kipele kimepata mkunaji. mimisa welcome to my hood. hii taarifa imenifurahisha sana. mia
 
Last edited by a moderator:
Thank You very Much Mpwa wangu kwa such a good compliment na ulitakiwa kuongeza kuwa HATA MY WIFE WANGU hana nouma kabisaaaaaaaa

u single raha figganigga asikuambie mtu...ya manoah tumuachie mwenyew..
aisee rafiki yangu manoah katemwa! hahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...!!!. haka kavulana kalikua kanibanabana kwa mimisa. sasa kipele kimepata mkunaji. mimisa welcome to my hood. hii taarifa imenifurahisha sana. mia
 
Last edited by a moderator:
aaa wap...anakuvumilia tu..

Back
Top Bottom