miss chagga sio jina lako hilo ??
yeye ajiunge na chadema atawapata wachumba wa muda
Mimi mwenyewe nimepiga , nimeambiwa 15 flashi, si pesa , niongeze kidogo!!!Kama naona watu watakavyopiga hizo number......lol
Mimi mwenyewe nimepiga , nimeambiwa 15 flashi, si pesa , niongeze kidogo!!!
ha ha ha ha mimi nina mkopo wa milion 100 BANK M
hivi zile million 70 nilizokupa hujapunguza deni tu ?
hapana kwa kweli nilikuwa na mambo mengine naizungusha kwanza