Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Yale mabilioni yaliyokamatwa dodoma kipingi cha nomination hayawezi kumuacha mtu salama!!Mwanasiasa mwanachama wa CCM na Diwani wa Kata ya Mbagala Kuu Yusuph Manji inawezekana ndiye Diwani pekee wa CCM ambaye anakumbana na misukosuko mingi sana katika siku za karibuni. Lakini watu kadhaa wanadai kwamba Manji anajua nini kinaendelea dhidi yake.
Kama nadharia kwamba Manji anajua kinachoendelea dhidi yake ni ya kweli, basi ni yeye mwenyewe ndiye mwenye uwezo wa kusema ukweli ni nini hasa kinachoendelea ili ajinasue kutoka wenye mtego uliomnasa.
Yanga, Coco Beach, Quality Group of Companies,siasa ama ni nini hasa!?
Mihuri ni kitu kinachongwa hata mitaani kwa kuwa wana visasi na manji chochote kinaweza kufanyika ili mladi lengo lao litimie kwa kumbambikia kesi ni kitu cha kawaida kwa sasa ni mwendelezo wa kesi kesi kesi mpaka 2020Unajua matumizi ya mihuri lakini?
Kila muhuri lazima una post signatory in accordance kama muhuri ni wa mwenyekiti wa kijiji lazima na handsign yake au fingerprints iambatane along the stamp sasa Manji ana mamlaka gani jeshini na ana sign kama nani kwenye stamp za majeshi?
Msumeno huu lazima utakiwa una mapengo, ungekuwa umeshakata Bashite zamani sana.Sheria ni msumeno..
Yakamatwe mwaka 2015 ila mtu asiachwe salama 2017?Yale mabilioni yaliyokamatwa dodoma kipingi cha nomination hayawezi kumuacha mtu salama!!
Ni kweli sheria hazifanyi kazi linapokuja kesi ya vyeti feki vya Daud Bashite Msumeno ni kwa Wapinzani wao tu, huo Msumeno ukate aliyeuza nyumba za serikali akajiuzia nyumba kadhaa kienyeji zingine akagawa kwa small house wake na mdogo wake huku kivuko kibovu cha Dsm kwenda Bagamoyo akikificha huko jeshini kukwepa lawama.Msumeno huu lazima utakiwa una mapengo, ungekuwa umeshakata Bashite zamani sana.
LOWASA
Waanze na aliyenunua kivuko feki, mabehewa, na mikataba ya ununuzi ndege na mikataba ya ujenzi wa Chato international Airport, Uuzaji nyumba za serikali na vyeti vya Daud Bashite.Yakamatwe mwaka 2015 ila mtu asiachwe salama 2017?
Visasi na chuki
Wanasema kakutwa na vitambaa vya sare za JWTZ pamoja na mihuri ya wakuu wa vikosi viwili vya JWTZManji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Hivi neno sahihi ni kakutwa na mihuri ya vikosi viwili vya JWTZ ama vitu hivyo vimekutwa kwenye ghala la Kampuni ya familia yao? Leo kwenye Maghala ya Kampuni ya Bakhressa ikikutwa kilo moja ya Heroin ama Cocaine atakamatwa mzee Salim Bakharessa?Wanasema kakutwa na vitambaa vya sare za JWTZ pamoja na mihuri ya wakuu wa vikosi viwili vya JWTZ
Pia ikumbukwe yale maghala hukodishwa kwa watu mbalimbali kuhifadhi mizigo yao na mihuri ni kitu kinaweza kuchongwa kama wamedhamilia kumbambikia kesi.Hivi neno sahihi ni kakutwa na mihuri ya vikosi viwili vya JWTZ ama vitu hivyo vimekutwa kwenye ghala la Kampuni ya familia yao? Leo kwenye Maghala ya Kampuni ya Bakhressa ikikutwa kilo moja ya Heroin ama Cocaine atakamatwa mzee Salim Bakharessa?
Alimwambia "Dere" (Baba Jesca) enz za Baba Riz wakat huo Dere akiwa kama Waziri mwny dhamana..!Haya maneno alimwambia dereva au MAKONDAkta wake?
Hapo ndipo ugumu ulipo maana kwa mara ya kwanza tulimsikia akihusishwa na dawa za kulevya. Lao hii tumeambiwa kuwa "amekutwa" na vitu hatari hivyo kwa usalama wa taifa. Somewhere at the back of my mind kuna kitu kinaniambia something is not right kabisa kwenye huu mchakato. Isijekuwa kuna elements za frame-up na watu wametumika kupandikiza evidence huko kwenye hayo maghala. Anyway, ngoja tuendelee kusikilizia.Hivi neno sahihi ni kakutwa na mihuri ya vikosi viwili vya JWTZ ama vitu hivyo vimekutwa kwenye ghala la Kampuni ya familia yao? Leo kwenye Maghala ya Kampuni ya Bakhressa ikikutwa kilo moja ya Heroin ama Cocaine atakamatwa mzee Salim Bakharessa?
liqudity
Manji anatia huruma aisee.
Na alivyo sleki mayai vile....hahahaha.
Hivi kafanya kosa gani kwanza?
Inasemekana amekutwa na muhuri wa jeshi isivyo halali. Na pia vitambaa vya sare za jeshi. Mashtaka aliyofunguliwa ni uhujumu uchumi pamoja na kuhatarisha usalama wa taifa.
Nadhani ana mengi ya kusema kama atabahatika kuendelea kuwepo.
Je alikuwa na utaratibu wa kufanya hivyo kila mara?
Vitambaa hivyo vilikuwa vikipelekwa wapi? Kazi haswa ya huo muhuri ni nini?
Maana sasa kuna shtaka la uhujumu uchumi na usalama wa taifa. Sasa kwenye usalama wa taifa sijui tatizo liko wapi, kwani hizo sare zilitakiwa kupelekwa kwa wanajeshi waasi ama kikundi chochote cha uasi? (Mh rais ameshawahi kulihuisha na mauwaji ya kibiti pamoja na mashehe walioko lockup)
Wafanye wafanyacho ila cha muhimu haki itendeke, msumeno wa sheria ukate kotekote.
Yani hata kama kuna walioshirikiana naye na wako kwenye vyombo vya madaraka wabanwe. Unless rais aliyepo ana mpango wa kukaa madarakani maisha yake yote.
Kwasababu huwezi kumkuta na makosa na kumuhukumu kama ameshirikiana na vigogo halafu ukawafumbia macho vigogo hao na hukumu ikawa ya haki.
Kwa upande mwingine pia, asiwe amebambikiwa. Lakini kama vinahusiana na ugaidi ama jitihada za uasi, basi hilo ni suala jingine kabisa.
Kabambikiwa kesiHapo ndipo ugumu ulipo maana kwa mara ya kwanza tulimsikia akihusishwa na dawa za kulevya. Lao hii tumeambiwa kuwa "amekutwa" na vitu hatari hivyo kwa usalama wa taifa. Somewhere at the back of my mind kuna kitu kinaniambia something is not right kabisa kwenye huu mchakato. Isijekuwa kuna elements za frame-up na watu wametumika kupandikiza evidence huko kwenye hayo maghala. Anyway, ngoja tuendelee kusikilizia.