Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake ambayo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.
Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.
Source: Mwananchi.
MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama komba angefungwa jela kile kitambi angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lilotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi. Chezea mikopo wewe!
Hahahahah mzee wa msituni hawezi kufungwa bana!

Jamani kama mtu hujui sheria ni vizuri ukaepuka ku-comment kisheria. Tangu lini kesi ya madai ikampeleka mtu jela.

Mbona unaonekana kupanic vp huyo mzee wa kitambi ni baba yako?
Ni sheria gani inayoruhusu mdaiwa kufungwa?Mkuu sheria ipi inayozuia mdaiwa asifungwe?
Sakata la mali za John Komba kupigwa mnada kufuatia deni la Tsh bilion 1.2 analodaiwa na benki ya CRDB limefikia tamati baada ya mfanyabiashara nguli na Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, Bw Yusuf Manji, kununua shule na baadhi ya mali zake zote ambazo zilikuwa zipigwe mnada ili kufidia deni.
Komba alikuwa anakabiliwa na uwezekano wa shule zake kupigwa mnada (na kufungwa jela) ili kufidia deni hilo alilokopa CRDB miaka 5 iliyopita.
Source: Mwananchi.
MAONI YANGU
Komba amshukuru sana Manji kwa kumuokoa kwenda jela na kupigwa mnada kwa mali zake. Sipati picha kama Komba angefungwa jela kile kitambi chake angekificha wapi. Lazima kingenywea kama puto lililotoboka. Hivi alidhani kuendesha shule ni sawa na kuimba kwaya na kusimamia bendi? Chezea mkopo wewe!
Ni sheria gani inayoruhusu mdaiwa kufungwa?
Mkuu kumbe nyie wanasheria ukiulizwa swali, unajibu kwa kuuliza swali, nlipokuuliza nlitaka unifahamishe tu, ila kutokana na hiki ulichoandika hapa nachelea kusema hujui sheria au unanibania hiyo shule mkulu.
Asante.
Swali lako halikumaanisha kuwa unataka kuelimishwa bali lilionesha kuwa unajua kuwa ninadanganya. BTW, kesi zote za madai zinaendeshwa kwa mujibu wa Sheria ya madai ambo hukumu yake ni kulipa deni na sio kama sheria ya makosa ya jinai ambayo hukumu yake ni aidha kufungwa, faini au kuachiwa huru.
Imekaa kimipasho zaidi ...