Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,628
- 6,669
Inakumbukwa baada ya kuhusishwa kwa jina la Manji katika list ile ya RC kuhusu dawa za kulevya, Manji aliongea na wanahabari na kusema atafungua kesi kumshitaki Mkuu wa Mkoa dhidi ya kumchafulia jina.
Pia kwa mwanzo tu aliripoti police akiwa na mawakili nane kama stage za mwanzo kusheria ili kumshitaki Makonda.
Ningependa kujua hii kesi Manji ameifikisha wapi?
Maana imezoeleka kesi za wakulu hawa huwa zinatolewa habari, vipi kwa hii mbona kimya.
Mwenye update zaidi please aweke hapa kuhusu kesi hii ilipofikia.