Manji akiri Simba imemshinda, Maximo anafikiriwa kwa sasa

Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.

Money can't buy everything
 
Hivi umeona ni sifa ku copy thread yote hiyo?

Naomba nikueleweshe inawezekana kabisa si kosa lako bali ni kutofahamu! Ni hivi ukiamua kujibu post kuna options mbili 1. Ni REPLY POST 2. REPLY POST WITH QUOTE
 
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.
Yanga msijali mwambieni Manji atangazee , kuwa mechi hii , ilikuwa bonanza, halafu mumshangilie ponjolo Mungu wenu
 
Una quote pale inapokua necessary sio?#mshana Jr
 
Magazeti yanayoiremba yanga ni Dimba, Soka Afrika, Mwanasport n.k. Mfano Kocha/mchezaji mpya akisajiliwa atabambikiwa sifa kibao wakati uwezo wake uwanjani ni mdogo. Mfano utasikia ''Jaja moto wakuotea mbali''kisa anatoka Brazili hata kama alikuwa shamba boy huko. Wachezaji wenyewe wa ukweli wa Brazili walipigwa 7-0 na Ujerumani sembuse sijui Jaja, Continho. Halafu Yanga wanakurupuka kuwasajili wachezaji ili kuikomoa Simba hata kama wachezaji hao hawako juu kimchezo mfano usajili wa Twite,Yondani, Kaseja, Mrwanda n.k. Lakini pamoja na hayo Yanga poleni na kichapo cha mbwa mwizi 2-0 Manji hoyeee. Mji umepoa zile kelele hamna.
 
Aka kandambili, aka wazee wa tano, aka wazee wa kuzimiaaaa
 
Naanza kuwa na was was na huku kuzimia wengine mnamzuga manji ili akuweke kwenye listi ya wapenda yanga dam dam,

Ushabiki bwana mwingine kashiba matikiti anakuja ITV maximo amenipigia simu yanga itacheza mpra ambao haujaonekana Africa nzima , Simba utani Wa jadi hamishien kwa coastal bana
 
Yanga msijali mwambieni Manji atangazee , kuwa mechi hii , ilikuwa bonanza, halafu mumshangilie ponjolo Mungu wenu

Wanatapata sana. Jana walilegea kama wamemwagiwa nusu kaputi, halafu leo waseme bonanza! Katika mechi nne walizokutana wababe hawa, Simba ameendelea kuwa kidume! Bravooo SSC!
 
Kamahajasomeka, achananae. Hebu waambie watoto wa manji wanisaidie mihesabuzinanisumbuaga. Eti mkia wa mnyama Simba unaurefugani? Waulize Tafadhali.
 
unategemea ni wafuatao ni simba damu ila wapo yanga ,deo munishi ,juma kaseja ,bartezi ,yondani ,msuva , dan mrwanda ,niyonzima ,
 
Duh, bao mbili fasta fasta! Utafikiri ile dawa ya masai imetumika: "msee nauza dawa ya kurudisha heshima....wewe hushuki....". Hahahahaaa, ushindi raha.
 
Back
Top Bottom