Manji akiri Simba imemshinda, Maximo anafikiriwa kwa sasa

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,742
Reaction score
32,351
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.
 
uchambuzi makini

kweli tupu...kwenye media yanga iko juu si uwanjani...
 
Mrwanda Simba walijifanya wanamtaka Yanga akaingia kichwa kichwa.
 
teh Samahanini jamani haya manung'uniko yenu sidhani kama yananihusu.
 
Yeah, habari ya mujini ni 2-0, hayo mengine ya kumuachia mola ni mbinu ya kutaka kujiongezea mwaka mwingine wa madarakani kwa huruma za wanachama!

yaa ni mbili ukitoa sifuri unapata 2
 
Tunaweka kiporo Escrow leo. Mohongo, karibu mitaa ya MSimbazi leo tufurahi. Kesho tunawe mpaka kieleweke.
 
Yangaaa wengu waswahili wa Ccm. Sio wote samahani. Escrow ndio hiyo inalate majibu.
 
Mkuu hasira za nini?Mliambiwa na nani kupakatwa raha?
 
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.
Wanaokoteza mizigo kutoka nje - kama akina jana - na kuipamba kwa vyombo vya habari. Afadhali hata wangesifia wa he zaidi wetu wa hapa. Pia wote tunajua Maximo ni kocha wa vyombo vya habari. Yanga kama ulivyosema hawaleti kipya huchukua vya wengine kuanzia kocha hadi wachezaji!
 
eti ni kweli mashabiki wa yanga huwa wanazimia timu yao ikifungwa??:teeth:
 
Huu ni wakati wa Yusuf Manji mwenyekiti tajiri wa Yanga anakiri kuwa zile bao 5 ambazo aliahidi kurid za Yanga kufungwa na Simba hali ni ngumu sana....ni wakati mwingine kabisa kwa unyonge anakubali kipigo cha bao 2 kwa nunge. "sisi washabiki wa Yanga tumechoka kufungwa na Simba tukijitahidi sana ni draw...maisha haya mpaka lini? " alizungumza juma jabiri mwenyekiti wa yanga tawi la huko manzese.... sikuweza kumuuliza mara mbili jina la tawi lake kwa kuwa alionekana mwenye hasira akitokwa mate huku jasho likimtoka. labda huu ni wakati wa YANGA kujiangalia sana namna ya uendeshaji wao wa Team kwa kutumia Magazeti. hili ni moja ya tatizo kubwa walilonalo Yanga kwa kuewekeza sana kwenye magazeti kuipamba yanga lakini wanapokuja uwanjani huwa wanacheza mpira wa kawaida tu. Yanga ni moja ya team kubwa sana baran Africa inapaswa ijiangalie namna ya kuweza kuwa na team bora ambayo itasajili wachezaji wenye uwezo na si wale wachezaji ambao Simba ilionesha kuwataka....tumeona namna Simba inavyowasababishia Yanga wasajili hata wachezaji wabovu kwa vile tu huwa inajifanya wakati mwingine kutaka kuwafanya yanga wasajili mchezaji ambaye wao wanajifanya kuonesha nia ya kumtaka.

Nashukuru Kuwa Umetambua Kuwa Timu Yenu Ni Ya KIPOPOMA..........Hamia Airtel Simba S.c.
 
Back
Top Bottom