Simba tayari wameshafungwa kabla ya mechi

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,885
Reaction score
28,382
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
 
Mpaka muda huu sijaona logic ya simba kwenda kuweka kambi Afrika ya Kusini. Ikitokea wakafungwa, hii ndiyo itakuwa ni sababu kubwa.

All in all, mchezo wa Yanga na simba ni vigumu kutabirika. Atakayetumia vizuri nafasi atakazo zipata, ndiye atakayeshinda.
 
Yawezekana uko sahihi mkuu.... Ila kwenda south Africa kama hela wanayo sijaona tatizo lolote.

Au ulipendekeza waende wakaweke kambi wapi?
 
Simba. Sc kupost mara kwa mara ni kutangaza mechi. Yanga hawaposti kwa sababu wenyewe ni wageni kwenye hio mechi ya tarehe 10/10/2026. Hivyo wanaona kupost kunawaongezea Simba sc promo ya watu kuhudhuria uwanjani.
 
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
hapa ndiko vijana wa kitanzania mnakofeli. hii nchi kwa hali iliyoko wala sio wakati wa kujadili hizo topoloz
 
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
Hivi kwann mashabiki hapa Nchini hatuwazagi vitu vya msingi ambavyo vinaweza saidia Taifa in future?Nchi hii ina Mpira gani sasa zaidi ya Siasa ya mpira, Yanga lenyewe ni timu la Mbeleko tu
 
Usitupangie hapa ni michezo

Vitu vya msingi peleka huko unamzidi akili Melo aliyeweka jukwaa hili?
 
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
GridArt_20250927_112150214~2.jpg

Vile YANGA tutavyomfanya Mai wetu maana tuna ugwadu balaah!
 
I salute you kinsmen

Kwa mwenendo mzima hapa tumeshaona simba wameshakalia kijiti before hata game yenyewe

Yaani kutwa wanajigamba na kupost sana wakati yanga wapo kimya kabisa hawana neno na wala hawapost kitu.

Inamaanisha yanga wamepanga kufanya mauaji makubwa sana this time naona kabisa simba anaenda kugongwa kote kote

Kipigo zaidi ya connection ya mmakonde, kwa maana hiyo simba wanaenda kuliwa matobo yote.

Time will tell na hapo lawama zitakuwepo sana
MANGUNGU OUT
MO ANATUNYONYA
DOUMBIA TAPELI
KUNA MAMLUKI NDANI YA TEAM
GSM ANAHARIBU LIGI
TFF WOTE NI YANGA
TFF WALIWAPA WACHEZAJI WA YANGA RUHUSA KWANINI WATOKE TEAM YA TAIFA?

NA MENGINE MENGI

YANGA 3
SIMBA 1
Kwahyo kukaa kimya ndy kushinda?
Kama huna cha kujigamba utaongea nn?

Kwa sasa Libasse Guaye ndy habari ya mjini
Simba 3 sisi yanga 0
 
Back
Top Bottom