Manji achukuliwa na gari la wagonjwa (ambulance) kutoka kituo cha polisi kati

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,821
Waandishi nje ya kituo cha Polisi kati DSM wameshuhudia Mfanyabiashara Yusuph Manji akichukuliwa na gari la Wagonjwa jioni hii.
=====

Mfanyabiashara Yusuph Manji amekimbizwa kutoka kituo cha polisi na gari la wagonjwa alikoenda kwa mahojiano tangu Alhamisi. Gari lililombeba limeonekana kuishia kituo cha dharura kwa wagonjwa cha hospitali ya Taifa Muhimbili.


d5e29032fd1adf1edc4a180fa691f0c8.jpg
5f03e9e6a53c3581fa7a5056f27abc75.jpg

Manji Moyo.jpg
 
Mkuu;
Umeona au umesikia?? Kwani mlijuaje kuwa ni yeye?? Kama mlimwona, tuelezeni, kagoma kula na sasa yuko hoi au?? Kumbuka leo siku yatano bado hulala hapo hapo central.
Wameelekea wapi mkuu? Ka ni Mhumbili basi ni BP imegeuka Shell.
 
Duuuuh hivi kwanini DPP afanyi kazi Yake kuwapekeka makamani?............

Ni sahihi kwa mtu kushikiliwa zaidi ya Siku tatu na police?......

Bila kufunguliwa kesi na wakati ni mtuhumiwa?...........

Manji alitakiwa kupelekwa Makamani na kufungwa kama atakutwa na hatia.....
 
Back
Top Bottom