Manji aachiwa na TAKUKURU kwa dhamana

Kwahiyo najiuliza kama takukuru ilikua na kesi ya kumshataki manji mbona hawakumfuatilia kuke alipo nje ya nchi, ina maana watu wakitoroka nchini wanakua salama zaidi na ni ngumu kuwashitaki? Tangu 2018 leo mnakuja kufufua kesi baada ya muhusika kurudi nchini
Jinai haifi wala haiozi
 
Imerudi hiyo tena. Hiyo TAKUKURU iko remoted. Ngoja wana clear files zake na Omo zao za kiuchunguzi
Haijawahi kuondoka. Tofauti ni aina ya maagizo yaliyokuwa yakitolewa. High profile individuals kama hao lazima maagizo yawepo.
 
Kipindi cha mwendazake TAKUKURU kilikuwa chombo cha kukomoa watu waliopishana naye, ni suala la muda tu akina Seth wataachiwa, ndiyo maana mwendazake alikuwa anapenda kuweka wanajeshi kwenye hizi taasisi ili kutisha watu. Manji karudi siyo kwamba yeye ni mjinga bali amehakikishiwa usalama wake, na hata kama kuna kesi dhidi yake basi zitafuata utaratibu na sio shinikizo kutoka kwa yeyote

Ninaunga Mkono pia ninafikiri umesahau kusema kuwa Kesi za kubambikiwa zilikuwa Nyingi sana haswa kwenye kipindi cha Mwendazake maana alikuwa akikukosa kwenye suala ambalo amekuhukumu nalo basi atakutafuta kwingine tuu.
Ndio maana hata Tasisi kama TAKUKURU zilikuwa haziwezi kufanya kazi zake vizuri kutokana na Shindikizo kutoka kwa mtu au juu.
 
TAKUKURU sasa inaonesha hawafanyi kazi kwa shindikizo au mbinyo bali wanafuata taratibu na kanuni mpaka watapomaliza suala hili.

Hii ni hatua Mpya katika namna ya taasisi hii muhimu ya utawala bora Tanzania inavyochapa kazi zake kipindi hiki cha serikali ya awamu ya sita.
Believe this and you'll believe anything!
 
Je, passport yake wamechukua? Vipi bank accounts zake ana access nazo 24/7? Only time will tell.
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?
Manji, kwani lazima afanye biashara Tanzania? Na Tanesco au kuna mteja mwingine?
 
Kuna sheria inayomzuia Mtanzania kufanya biashara Tanzania? Kwani aliyekwambia mfanyabiashara mkubwa kama Manji anafanya biashara na mteja mmoja ni nani?
Account bado zina hela? Hakuna notice of urgency sababu ya pending cases?
Manji, kwani lazima afanye biashara Tanzania? Na Tanesco au kuna mteja mwingine?
 
Binafsi nafsi inanituma kuamini kuwa Manj siyo mtu wa kukurupuka.

Manj aliamua kurudi Tanzania baada ya kufanya mazungumzo ya kutosha na kujiridhisha kuwa atakuwa salama.

Haya yanayoendelea ni mambo yapo kimkakati na yanajulikana kwa wahusika wa pande mbili.
Ni kweli hii ni mbinu ya kumsafisha
 
1622908134153.jpeg
 
Ila Mwenyezi Mungu anajua Aseee...mi sitaki hata kuamini eti haya mabadiliko yooote ni kama naota vile jus imagine tunaenda siku ya 90


Tunaojiona watoto tukue asee na tuijue dunia na matendo yetu

Binafsi kwenye uongozi wa Jiwe a.k.a Jabali/ Mwamba,ndo fahamu na siasa ilianza kuniingia na kutaka kujua mustakabali wa nchi yangu!

Huko kwa Vasco da Gama nilikuwa shule, so sikufuatilia chochote

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom