Manispaa ya Tabora kipande hiki cha barabara kimewashinda?

LENDEYSON

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2013
Posts
2,996
Reaction score
2,659
Kipande cha Barabara cha Town Clinic ni Kibovu tangu nahamia Tabora Mwaka 2019. Ni Kipande ambacho hata Mita 100 hakifikishi, ndicho kinachoingia Salmini, sehemu Muhimu kiuchumi, Diwani wa eneo hilo nae Hakuna anachofanya, Shida ni Nini?

Naona mnapambana kujenga Kingo za Barabara ya Cheyo KWA Mrema ambayo hata Haina uharaka kama ambavyo hiyo ya Town Clinic!
 
Hayo mashimo ya kwenye lami yanaumiza sana vyombo vya usafiri. Bora wangeenda kuchonga barabara za kidatu kuliko kujenga Kingo za barabara cheyo
 
Back
Top Bottom