Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 505
- 887
Kupitia kikao cha CMT ya Mapato cha Tarehe 19/01/2026 iliazimiwa kuwa Watendaji Wote wa Kata na Mitaa wahamasishe Wananchi walio katika Maeneo yao ambao wanamiliki Majengo ya Ghorofa kuyapaka rangi, kuweka pavement pamoja na kuweka taa katika Majengo yao ili kufanya Halmashauri yetu ya Kinondoni iweze kuwa safi na kupendeza.
3. Kwa barua hii mnaelekezwa kufanya uhamasishaji katika maeneo yenu kwa kuwajulisha Wananchi husika na Wawekezaji kufanya upendezesha wa majengo yao ili kuongeza mvuto kwa Wageni wanaotegemea kuja Nchini kwaajili ya Mashindano ya Mpira wa Miguu Afrika (AFCON) Mwaka 2027.
Soma Pia: Makonda: Serikali imelipa CAF Tsh. Bilioni 82, Tanzania kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Nawatakia utekelezaji mwema.