maandalizi ya afcon

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Taharuki za Kisiasa na Kijamii zinazojitokeza Tanzania zinaweza kuathirije fursa ya kuwa mwenyeji?

    Tanzania inaelekea kuandika historia kwa kuwa mmoja wa wenyeji wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Hii ni fursa kubwa kwa taifa, si tu katika sekta ya michezo bali pia katika uchumi, utalii, biashara na taswira ya nchi kimataifa. Michuano hiyo ni jukwaa linalokusanya mataifa...
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CAF: Kenya haina Kiwanja chenye sifa za kutumika AFCON

    Ripoti ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF) imebaini mapungufu makubwa katika viwanja vya Kenya vilivyopendekezwa kwa ajili ya mashindano ya AFCON 2027. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, hadi Februari 2026, hakuna kiwanja, kati ya viwanja vitatu vilivopendekezwa, kilichofikia viwango vya Daraja la 4...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni wamewataka watendaji wa Kata na Mitaa Kuhamasisha wananchi Kupendezesha maeneo kwaajili ya maandalizi ya AFCON 2027

    Kupitia kikao cha CMT ya Mapato cha Tarehe 19/01/2026 iliazimiwa kuwa Watendaji Wote wa Kata na Mitaa wahamasishe Wananchi walio katika Maeneo yao ambao wanamiliki Majengo ya Ghorofa kuyapaka rangi, kuweka pavement pamoja na kuweka taa katika Majengo yao ili kufanya Halmashauri yetu ya Kinondoni...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Arusha: RC Makalla aunda kamati 7 za maandalizi ya AFCON 2027

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla Jumanne Februari 04, 2026 ametangazwa kuundwa kwa Kamati Saba Maalumu kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Mpira wa Miguu kwa Mataifa ya Afrika, AFCON 2027. Mbele ya Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri, Makatibu Tawala...
  5. Luis 505

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027: Naona kama kuna aibu kubwa inakuja mbele yetu kwa "international community" miaka 2 ijayo

    Wakuu, mbona naona kama kuna aibu kubwa inakuja kuchafua taswira ya Tanzania katika mashindano ya AFCON 2027?? Mtiririko wa matukio ya hivi karibuni ya kimichezo hususan soka pamoja na kukosa seriousness kwa viongozi wa mchezo husika, kunanipa wasiwasi sana wakuu.
Back
Top Bottom